Search results

  1. Litvinienko

    Sitta: Msiisubiri Serikali kutaja walioficha mabilioni...

    Hata huyu Sita anawajua. Asiwashangae wenzake wanaoipa muda serikali kutaja. wote wanawaogopa mafisadi.
  2. Litvinienko

    Mwanahalisi fanya yafuatayo

    jina zuri among others
  3. Litvinienko

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    Kasema magazeti ya asubuhi...
  4. Litvinienko

    Mbatia kuongoza POAC!

    ......aya!
  5. Litvinienko

    MGOMO WA WALIMU WAPAMBA MOTO: Habari na matukio katika picha

    Freedom is coming!!! Tooodaaaaaaaaaaaaaaaaaaaayyy
  6. Litvinienko

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Wangekuwa wanarifaa muhimbili wagonjwa waliovinjika hata vidole?
  7. Litvinienko

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Sasa hii hali inakokokwenda baada ya mda si itahitajika mahema nje ya wodi!
  8. Litvinienko

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Jamani waandishi wa habari, Hebu thibitisheni habari hizi kwa umma wa watanzania. Nendeni mpige picha zenu, video, M-hoji wagonjwa, ikiwezekana na ndugu zao na uongozi wa Hospitali kwani tuliwashuhudia sikuchache kwenye TV wakijigamba kuwa huduma zimerejea kama kawa! Tupate ukweli. Watanzania...
  9. Litvinienko

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Blow as many trumpets as your lungs can allow!
  10. Litvinienko

    Ogopa Mgomo Baridi: Muhimbili hakufai

    Kuna huduma ambazo lazma uende Muhimbili. Tiba ya mifupa kwa mfano, tiba ya ubongo lazma uende Muhimbili. Na inaonekana ni makusudi wagonjwa hawatibiwi. Hizi ni wodi za upasuaji. Hakuna dokta wa kupasua japo wanakuja kazini, au japo wanapasua, ni kwa kusuasua mmoja kwa siku anapasuliwa alafu...
  11. Litvinienko

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Shida kila siku viroja ndo zako
  12. Litvinienko

    CHADEMA yalitikisa Bunge Hotuba ya Lissu yawa ‘mwiba’

    Kwani iyo kamati itamhojia Msitu wa Pande?
  13. Litvinienko

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Mwenzio ritz kakutema
  14. Litvinienko

    Ufafanuzi wa Mch. Gwajima Kuhusu Mkenya wa Dr. Ulimboka

    Like Mahita like Kova
  15. Litvinienko

    Madaktari waanza kuikimbia nchi..

    Hadi botswana wana mabwepande?
  16. Litvinienko

    Serikali ya CCM, Polisi na TIS Tambueni hii Nchi Siyo ile ya Mwaka 1961! Tumechoka Jamani !

    Polisi wengi wanatamani wasingekuwa wanavaa magwanda wasijulikane!!
  17. Litvinienko

    Kamanda Kova asilaumiwe!

    Unajua huyu Msangi ni kama keshakufa. Maneno yetu watanzania na sala zetu zishamuua mara zaidi ya mia. Kabaki kama zombie tu
Back
Top Bottom