Search results

  1. Ngorunde

    Hamas: Tunawashikilia maafisa 30 wa Israeli "Mahali salama

    Hawajali wapalestina wenzao wasiokuwa na hatia zaidi ya 34k waliopoteza maisha, wao wanaona fahari kuwaweka salama Waisrael 30!? Hii ni zaidi ya mtindio wa ubongo.
  2. Ngorunde

    Zanzibar: Watalii wanne kutoka Israeli watimuliwa Hotelini kwa kulalamika kuhusu gari kuandikwa "Free Palestine"

    Nimekusoma sana kwenye mabandiko yako....uko vizuri kwenye eneo la 'Customer care'
  3. Ngorunde

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Hayo mapato makubwa yanaishia matumboni mwenu.....huku wananchi wakiteseka na huduma ya afya ambayo ni mbovu na ghali
  4. Ngorunde

    TANZIA Mfanyabiashara Emilian Woiso afariki dunia

    R.I.P mfanyabiashara. Woiso atakuwa ni mchaga wa Rombo huyu.
  5. Ngorunde

    Singida Mpya ya kijani inawezekana - Suphian Juma

    Vijana wa kijani katika kusaka uchochoro wa kupenya ili kufikia UPIGAJI. Mtalaaniwa..!
  6. Ngorunde

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Pole sana. Ila kwa umri wako unastahili sasa kuangalia mambo kwa picha kubwa zaidi. Mambo ya ngono yapo tu, onyanyeni msameheane maisha yaendelee kwa faida ya watoto.
  7. Ngorunde

    Mbunge Msukuma Kasheku alilia wizi wa fedha za Umma

    Kama wezi wakibainika wanahamishwa kituo badala ya kuchukuliwa hatua unategemea nini? Kizimkazi anapalilia sana huu upigaji.
  8. Ngorunde

    Unaposema Serikali acheni dhulma, inamaanisha serikali inadhulumu?kwani hawa parking ni mali ya nani?

    Tangu lini maiti wakaandamana? Mengine yote uliyoandika uko sawa, ila Hilo la kuandamana haliwezekani hapa Tz., wabongo ni sawa na mizoga....hawahisi chochote!
  9. Ngorunde

    Siku tukijua wanaotusababishia maisha kuwa magumu

    Kulijua tatizo ndio kujitambua kwenyewe. Shida ni kwamba watanzania ni waoga kuchukua hatua stahiki.
  10. Ngorunde

    Mitambo namba 8 na 7 Bwawa la Nyerere kuwashwa, tatizo la Umeme lafika Ukomo!

    Mafuriko ya Rufiji yana historia ndefu. Usichanganye mambo.
  11. Ngorunde

    Wanafunzi Saba wahofiwa kupoteza Maisha baada ya School Bus kuanguka kwenye korongo (Sinoni, Arusha)

    Poleni sana! Isanga wewe pia una shida ya L na R !? Harafu = Halafu.
  12. Ngorunde

    Ugumu wa Maisha wasababisha Wananchi kununua Utumbo badala ya Nyama , Sikukuu ya Idd Yadorola

    Luka siku za nyuma ulikuwa unasimama hoja zako(ulizoamini ni sahihi) bila kuchanganya na matusi. Siku hizi naona uzalendo umekushinda. Ila kumbuka heshima ya mtu hujengwa na matendo yake.
  13. Ngorunde

    Kama tungeuza sana bidhaa nje ya nchi tungepata dola nyingi sana, sarafu yetu ingeimarika kuliko ya Kenya

    Tumshukuru sana Mama yetu kipenzi Dr Samia Suluhu Hasan kwa kuwezesha shilingi yetu kuporomoka kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa na raisi yeyote.....asante sana mama!
  14. Ngorunde

    Je, Ethiopia kujiunga Jumuiya ya Afrika Mashariki kutaharibu au kuimarisha jumuiya hiyo?

    Tatizo kubwa la nchi za kiafrika (hasa baada ya kujitawala)ni kufanya mambo yake kwa mihemko ya kisiasa bila kuangalia lengo na msingi wa jambo husika. Miungano ya maeneo mbalimbali katika hili bara imekaa kisiasa zaidi kuliko kiutendaji. Hata AU yenyewe ukiiangalia kwa jicho la tatu utaiona...
  15. Ngorunde

    Jaji Warioba atamani uchaguzi huru na wa Haki , Hataki uchafu wa 2019/2020 ujirudie

    Kwa sheria za kijinga kama hizi, vyama vya upinzani kushiriki chaguzi nchi hii ni kujidhalilisha.
  16. Ngorunde

    Sijui kwanini nimeumia hivi

    Pole sana kwa yaliyokukuta....ubinadamu kazi! Ila kwa jinsi nilivyosoma maelezo yako inaelekea kuna namna umemkwaza wakati unamsaidia(aidha kwa maneno au matendo), jitafakari. Kwa mazingira ya kawaida hawezi kumshukuru aliyetoa elfu tano akakuacha wewe wa laki tatu. Angeacha kushukuru wote...
Back
Top Bottom