Search results

  1. CULCULUS

    Malaysia: Watu takribani 10 wafariki baada ya ndege kuanguka kwenye barabara kuu

    Baadhi ya mabaki yake yalipatikana pwani ya Bahari ya Hindi. Nadhani Comoro.
  2. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Leo pekee wamechinjwa warusi 820. Tuendako Urusi itakabiliwa na uhaba wa wanaume.
  3. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Na toka aanzishe uzi hajarudi kutupa update. Cc: Askarimaji
  4. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu jooohs, Upo Odessa sehemu gani Mkuu wangu? Mimi nipo hapa Manispaa.
  5. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu Richard, Umeandika mambo mazito sana Mkuu wangu na hapo kwenye bold ndipo uliponikosha zaidi maana ndipo palipokuwa panaleta ugomvi kati yangu na Ndugu Nkuba25. Tupo pamoja 🤝 sasa. Cc: Nkuba25.
  6. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wewe unasema anakuwa anacoordinate, mwenzako alisema ndiye aligundua. Nilichopinga Mimi ni yeye kusema kwamba huyo Jenerali wa Urusi ndiye aligundua Hybrid Warfare. Umenipata? Naona hata wewe umejitenga na ugunduzi na kujielekeza kwenye cordination.
  7. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Nkuba25, Ninavyofahamu, Hybrid Warfare in matumizi ya vitendo mbalimbali vyenye lengo la kudistablize au kumvuruga adui iwe katika vita au isiwe katika vita. Mfano wa vitendo vya Hybrid Warfare ni; 1. Kuingilia chaguzi (Interference in electoral process), 2. Mashambulizi ya mtandao (Cyber...
  8. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Tutazidi kuwachinja warusi kadri iwezekanavyo. Na sasa Cluster bombs zaja.
  9. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Cluster bombs zinakuja. Wavamizi mkae mkao wa kurudi kwenu!
  10. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu wewe ndiye TATAKI (Taasisi ya Taaluma za Kiswahili) au BAKITA (Baraza la Kiswahili Tanzania)?
  11. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kupata kichekesho kama hiki umebonyeza ngapi Mkuu?
  12. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wingereza ndiyo Nchi gani Mkuu? Cc: Mkuu kp kipanya44
  13. CULCULUS

    LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Mkuu kp kipanya44, Habari za ndani kabisa nilizonazo kutoka Washngton na Kiev ni kwamba counteroffensive haijafanyika kabisa.
Back
Top Bottom