Search results

  1. C

    Kikwete awateua Prof. Sospeter Muhongo, Janet Mbene na James Mbatia kuwa wabunge

    kiukweli mtu ambaye huwa anakurupuka basi ni JK kwa kweli kwa mbatia amekurupuka sio siri ila ngoja tusubiri baraza lake tuone,
  2. C

    PICHA: Miaka 50 ya uhuru toka uwanja wa Uhuru - Dar

    sijui tu huko leo kama kuaningilika maaana washikaji wametanda kinoma,,
  3. C

    CHEDEMA kufutwa, Kibamba, Nkya na Wanaharakati kufungwa; Warema kasema leo Bungeni!

    sasa kama ndo hivyo basi magereza yote nchi yajiandae kupokea wafungwa wengi...
  4. C

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    Pamoja sana watu wa zenj yaani nawaunga mkono mia mia...
  5. C

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    "Siku ya kufa nyani miti yote huwa inateleza" sasa na ninyi munaosingizia ITV ni kwa sababu tu ya mambo sasa kuwa elemea ila mkae mkijua kuwa wanchi wa tanzania sasa wameamka na wala sio wale ambao mulikuwa mumezoea kuwa buruza, sasa matumbo joto kwa kila kiongozi..
  6. C

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Jamani mbona munachelewa kuyatangaza hebu yatangazeni basi maana tumechoka.
Back
Top Bottom