Search results

  1. P

    Tunatafuta Store keepers na Stores Managers wenye kufahamu Vyakula

    Hii inaitwa Argumentum ad Hominem. No wonder ulilipwa kidogo nahisi ndicho ulichostahili kwa thinking kama hii yako
  2. P

    Tunatafuta Store keepers na Stores Managers wenye kufahamu Vyakula

    Masharti hayo. hamna nafasi mwanza mjini
  3. P

    Tunatafuta Store keepers na Stores Managers wenye kufahamu Vyakula

    Ndo ubaya wengi wetu hatu specialize
  4. P

    Tunatafuta Store keepers na Stores Managers wenye kufahamu Vyakula

    Wakuu, Kukosea kufuata maelekezo yenyewe ni udhaifu tosha. Nimesema hamna mtu wa kati kati. Tuma CV kwa HR@sfgroup.co.tz Usitume namba yako hapa. Wala usiniombe nikupigie. Hakuna mtu kati na hakuna rushwa.
  5. P

    Tunatafuta Store keepers na Stores Managers wenye kufahamu Vyakula

    Inaelekea hawa watu wenye sifa hapo juu hawapo. Ngoja nitafute wageni wa India
  6. P

    Tunatafuta Store keepers na Stores Managers wenye kufahamu Vyakula

    Wandugu, Tunatafuta Watajwa hapo juu ambao wanajua vyakula. Utunzwaji wa vyakula.Sifa ni cheti mpaka degree. Cha muhimu ni kujua au kuwa ushawahi kufanya kazi kwenye stores ya vyakula (kutunza Nyama, vyakula vya baridi na vikavu na vinywaji) Kama una sifa hizo na upo tayari kufanya kazi nje...
  7. P

    Natafuta mfanyakazi wa ndani aliemaliza form four

    Hahahah Michazpipoz umenichekesha. Haya bana
  8. P

    Natafuta mfanyakazi wa ndani aliemaliza form four

    Wakuu, Natafuta mfanyakazi wa ndani ila awe ni wa kike na amemaliza elimu ya sekondari. Mshahara ni shillingi za kitanzania laki moja Net. Atakua anakaa kwangu. Kazi yake kuu ni kusaidia kuhudumia mtoto wa miaka miwili. Mwenye sifa hizo anipigie 0768 224 007 au atume ujumbe...
  9. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    jamani hamna Car dealers humu
  10. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    Tried again no option ya ku like...nimetuma request
  11. P

    Msaada: kufungua kampuni

    mcheck Catherine Solomon <catherinesolomon@rocketmail.com> Atakusaidia
  12. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    Asante CyberTeq in advance
  13. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    The problem with that facebook Group ni mpaka uombe iwe approved. Sio ya ku like. Anyway nipostie basi kasha waambie simu ni 0768 224 007 Wakuu, Natafuta Engine control box for Toyota Mark X. Engine number 4GR-FSE Control box number 89666 - 22070 Denso . Mwenye nayo naomba awasiliane nami
  14. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    Shark, Hawakupita. Basi tu limeharibika lipo
  15. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    duh! yaani hapa labda useme unataka nyumba ya kupangisha. Hivi wauza magari hawatembelei hapa?
  16. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    Kaka khaaa. Hapana. we kiboko lakini sikuwezi. Hilo tendo sio sahihi kabisa. Nalipinga
  17. P

    Amazing Quality Cement Blocks (Matofali) at 800/= Tsh. Only..!!

    Nitafutieni Engine Control Box ya Mark X acheni kushabikia udini. Mzee wa Matofali nimechelewa kidogo tu,....dah dili nzuri
  18. P

    Natafuta Engine Control Box for Mark X

    Sorry piga simu 0768 224 007
Back
Top Bottom