Search results

  1. D

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Hii ni kweli mkuu. Sio ya kukosa. Nilisha-google na kuona ukweli wake. It is an opportunity for supplement income! Nimo ndani ya hao watu 300 wa mwanzo. Tujulishe ni lini tunaosafiri tujiandae kuwepo! Good luck brother!
  2. D

    Dua kabla ya kuanza bunge la tanzania

    Nimejaribu kutafuta Dua kabla ya kuanza Bunge la Tanzania, nimekosa. Kuna aliyenayo anisaidie?? Nimeisikiliza leo 16/11/2011wakata mwenyekuti Janet Muhagama akiisoma! Hivi kweli hiyo DUA wabunge wa CCM wanamuomba MUNGU MWENYEWE??!!!!!!! Au waliiweka kutudanganya WATANZANIA??? AU NI SALA YA...
Back
Top Bottom