Search results

  1. K

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Tambua waliachanishwa na kazi.. Ila walikua wanapendana.., huenda mwanamke alishindwa kuvumilia Ndio kaolewa na jamaa, Ila X hajaoa na huenda ndoto yake ni kumuoa huyo X.. Usimlaumu kwa kuumizwa na yazamani, Kwani yazamani hugeuka mapya...
  2. K

    Je, Matumizi anayoyakataa Magufuli hayakuidhinishwa na Bunge la Bajeti?

    Mafumbo ni dalili ya woga na kutojiamini
  3. K

    January Makamba acha kutuharibia Amani ya Tanzania kwa uwezo wako mdogo wa kupambanua

    Achana na wapaka Poda hao.. Nchi itakabidhiwa kwa Lowassa kwa maslahi ya Taifa!
  4. K

    Pemba - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Ndg vuta subira... Tezi Dume linakamuliwa
  5. K

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Uzuri tunapewa na picha ya mabandiko kwa Whatsp.. Hayo mpelekee Nape
  6. K

    Polisi wavamia Tallying Center ya UKAWA na kuizima

    Wanamchokoza maMvi live
  7. K

    Uko wapi Dk Wilbroad Slaa? Njoo ushuhudie anguko la Mafisadi

    Mchele Mchele, kidume mpaka shedo
  8. K

    Januari Makamba: Magufuli kutangazwa Rais tarehe 29 oktoba 2015

    Mlogwe kumtangaza Makomeo mshindi muone shughuli sasa.. Mlipiga mkwara mita mia, watu wapo mita 5..
  9. K

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Hiyo ilikua njama ya tume, kwani Yule Dada aliomba jina lake lisiwekwe
  10. K

    Ni aibu kwa jeshi la nchi kupigana na wananchi wake

    Kwani kuna wavamizi toka msumbiji? Why vifaa visipelekwe mipakani kulinda amani badala yake vinapelekwa kwa wagema Pombe ya Mnazi?
  11. K

    Kwa hili IGP ukinyamaza nitakushangaa sana!

    Ushahidi unao? Hapo direct inajulikana anayefanya kitendo ni shabiki wa CCM, Haiingii akilini wale mnaowaita wanywa viroba leo wawatumikie... Shame on you CCM..
  12. K

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Uzi wenu wa kufunga Kampeni CCM Kirumba umedoda
Back
Top Bottom