Search results

  1. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    unataka kuleta tabaka za kidini hapa. mie hunipatie uonesha wapi nimesema kuwa wakristu wote makafiri? endelea na bakuli lako ni maumbile kuomba.
  2. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Zitto sio yatima hadi achangiwe. basi muongo anaogopa mahakama.au karithi kwa SHIDA BINT SALUM?
  3. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Zitto sio yatima hadi apitishe bakuli la njaa. anyway kazoea kuomba na utapeli ndio maana Dada yetu (Shida) alinyea debe ukonga miezi sita. sheria si mchezo. kumbe kuomba omba ni maumbile ya watu.
  4. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Kaishiwa bwana wako Mbowe anadaiwa. na kitendo cha kukupumulia wewe ni kuishiwa hana sifa ya uongozi.mtu ukiwa unapumuliwa mgongoni basi ukimuona Mbowe unanywea kabisa.
  5. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Zitto ndio mwenye gazeti alipe gharama. kwa hiyo yanayoandikwa ni uongo ingekuwa gazeti lenye msimamo lingesema twende mahakamani.kwanini mnaogopa Mahakama na mliyosema ni kweli. Mwanakijiji ulisema jana nimekukimbia jibu hoja zangu. kutumia majina ya kike haikusaidii kitu.
  6. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    wanafikiri watu wajinga humu.Asante sana uwaulize na ruzuku wanakula wao.Kubenea huyo huyo alipelekwa INDIA kwa pesa za JK. wanafanya biashara bila kuwa na insurance? wakiumwa mchango. wakifikishwa mahakamani mchango.majambazi haya achana nayo.
  7. C

    CHADEMA wakataza

    UMEULIZWA KWA JINA LA MWANAKJJJ NA UNAJIBU NA MWAFRIKA WA KIKE. NAKUULIZA ILIKUWAJE UKATIMULIWA BBC ULIPOOAMBA SUALA LA UKRAINE?
  8. C

    CHADEMA wakataza

    KJ achana nae huyu pimbi Mwwanakijiji alisema nimemkimbia lakini leo anajibu na jina lingine la kike ili apate SYMPATHY ya wana JF? huo ni utapeliwa wa kutumia gender ya kike kupenyeza sera za NGO yao.
  9. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Unajichanga kama MBOWE YUKO MGONGONI KWAKO.mara useme niko ubalozini nikisema taja unadengua. samahani mie nimeumbika sana kiume, usije kulia.kamdengulie Mbowe anayekuMUVUZISHA.
  10. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Kitila ni zezeta kama wewe,ndio maana anasoma masomo ya kike.sasa sijui chadema mnabiashara gani na uke uke?kweli wazima nyinyi au MBOWE kawaharibu mmekuwa si riziki na kila mtu mnamuona mwanamke anawaharibia biashara yenu. kasome ushauri wangu haya hayakusaidii kitu.
  11. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Mie siishi kwa hisia kama wewe.unakumbuka ulipiga simu BBC kwa ajili ya wanafunzi wa Ukraine uliulizwa swali gani na ukashindwa ukatoka mkuku? kama una redio na unashindwa kunijua kwa maandishi haya au una bifu na Mwanamke wa ubalozini ambaye hakukunyima visa ya UK lakini una hasira zae hiyo ni...
  12. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Sijataka kuharibu mchango wenu, nimetoa ushauri kuwa Mwanakijiji hana historia ya uamini na hana shughuli ya kueleweka ya kumuingizia kipato. nikakupa option kuwa bora apewe Kitila kwanza anajulikana na ana shughuli ya kumpatia riziki yake. unajua unapoweka pesa benki hakuna mizengwe sasa...
  13. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Haswaa basi anaogopa kunitaja mimi ataweza mafisadi? unaogopa Mwanamke bwana Mashaka(Mwanakijiji)?
  14. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Sema wewe kaka. kuna uongo hauna kichwa kama huuu.mimi naweza kuwa binti? ni sawa na mtu kuniambia kuwa Mwafrika wa kike ni Mwanamke, kweli kuna mwanamke anaweza kukesha hapa JF toka july hadi sasa akawa na michango elfu 4? na akawa anaishi marekani kama Mwanakijiji na akawa ana ufukurukutwa wa...
  15. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    hili sawa nichapinga ni kupewa michango huyu bwana Chopa MWANAKIJIJI kila tukio anasema tuchange na yeye ndiye mshikaji wa michango. alituchangisha mchango wa muuza madawa mwenzake aliyepata ajali kazini. mara watoto yatima mara Ukraine na huko kote hakuna AUDITING? wakati jamaa hana kazi...
  16. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Balozi wa London ni mwanamke hata hili hulijui?Chuki za kidini mnazo nyinyi Chadema wajinga.
  17. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Kuishiwa wameishiwa Mbowe na Zitto , Mbowe kapelekwa mahakamani kwa deni huko ndio kuishiwa. Zitto nae anakuja humu kuomba mchango kwa ajili ya gazeti lake.ndio kaishiwa. Mwanakijiji kuja na mwafrika wa kike, senti 50, madela, ben na Koda ni kuishiwa.hana pesa wala elimu kudadadeki Marekani...
  18. C

    CHADEMA wakataza

    Kwanini wewe RO ulitaka akufanye nini? unamtaja kila nukta? hakutoshi Mzee mzima Mbowe? si umepewa vijisenti vya website.hutosheki na sasa unakuja na hili la Mwanahalisi ili upate chochote, yaani unaishi kwa matukio ndugu yetu? nani karudi toka London na mimi niko majuu hivi sasa. wewe ni mod...
  19. C

    CHADEMA wakataza

  20. C

    Saidia Mwana Halisi Saidia Said Kubenea

    Zitto ndio mwenye gazeti ni biashara yake na si Charity. anafanya biashara na analipwa kwa matangazo kama amekwama kibiashara aende benki kukopa sio kuja kupiga bakuli hapa. mbona magazeti mengine yakipata mtihani wa kikazi wanalipa wenyewe. basi na MBOWE tumchangie humu akalipe deni lake NSSF.
Back
Top Bottom