Search results

  1. G

    Kafulila kuendelea kuwa mbunge: kuna mchezo mchafu?

    Wewe unategemea zitto angezikubali tuhuma hizo? Kwa hili ilikuwa ni lazima apinge. Ni kazi kwako kujua kama ni kweli au anasingiziwa. Kama mfuatiliaji wa mchezo, utajua nani mkweli. Ishu za epa na nyingine zote zilianza kama walivyoita wakati huo MAJUNGU. kama na wewe unalitumia neno hili bila...
  2. G

    Kafulila kuendelea kuwa mbunge: kuna mchezo mchafu?

    SITAKI UNIAMINI, ila fuatilia ninachokiandia. Unganisha matukio ya jambo hili. Hii ni njia rahisi kwako maana umeonyesha njia zingine za ufuatiliaji huziwez. Kama hutaweza kwa njia basi utakuwa umejitia upofu ktk ufuatiliaji. Kwa mtu mwenye kufikiri suala hili la zitto kutumika na kisha...
  3. G

    Kafulila kuendelea kuwa mbunge: kuna mchezo mchafu?

    Ndugu sitaki ukubaliane haraka na nilichoandika lakini nakushauri fanya utafiti. Kabla kulikuwa na mazungumzo ya kafulila na machali, akimwelezea malengo yao na zitto. Kwa kutokubaliana machali akavujisha mazungumzo hayo bila kuuma maneno. Posts nyingi zilieleza hii njama humu jf. Anyway kwa...
  4. G

    Kafulila kuendelea kuwa mbunge: kuna mchezo mchafu?

    Ktk sakata hili huwezi kuwatoa Rais kikwete na zitto. Zitto anatumiwa na kikwete kutaka kuigawa chadema. Kama jaribio la kumpindua mbatia lingefanikiwa, zitto na genge lake wangehamia nccr na zitto kuwa mwenyekiti. Chadema na nccr vingekuwa vyama hasimu na kukiacha ccm kuendelea kutawala...
  5. G

    Kafulila kuendelea na ubunge

    Mnauliza zitto kaingiaje ktk sakata hili? Zitto ni mchezaji aliyefungisha goli, kwa hiyo likisawazishwa ni lazima awe na furaha kuliko mfungaji. Makosa yake yamefutwa. Thanks kwa mahakama kuanza danadana.
  6. G

    NCCR waanza kuteremsha bendera kupinga kutimuliwa kwa Kafulila na wenzake

    Minda, mbatia kafanya kazi nzuri sana, si kwa chama chake bali kwa chadema. Amekwamisha mpango namba moja wa kukigawa chadema. Did you know the plans of zitto na kafulila, wakisaidiwa na ccm? Waulize maafisa usalama wa chadema walivyopata taabu kunusuru hali hiyo. Muulize Machali aliyepewa dili...
  7. G

    Tendwa amekurupuka: Ruhuza

    Ktk tz hii, labda tuamue vinginevyo, unapotaka kuwa mwanasiasa ni lazima utafute chama. Ukikipata chama, chama hicho kitakuwa na katiba. Katiba itaeleza jinsi uanachama wako utakavyoanza na namna uanachama wako utakavyokoma(fukuzwa). Kujiunga na chama ni kukiri kuikubali katiba ya chama. Ukienda...
  8. G

    Jimbo la Shinyanga mjini halina mbunge

    Usemacho ni kweli mkuu. Japo mada ni ya zamani kidogo, lakn hadi hivi sasa mbunge huyu kama amelisusa jimbo vile. Na habari kutoka kwa watu wa karibu yake zinasema hana mpango wa kugombea tena shy. Kwa kweli kijana kapata wakat mgumu. Nakumbuka alishaingia uwanja ni wa football kambarage, watu...
  9. G

    Mauaji Kigoma kusini baada ya uamuzi wa Mbatia na genge lake

    Ndio jambo alilofanyiwa kafulila sio zuri kusikia masikioni. Chanzo cha jambo hilo ni mapinduz ya uenyekiti. Ingekuwa ktk level ya nchi tungeita uhaini, ipo adhabu yake ktk katiba na ni kosa kubwa dhidi ya nchi. Tukiri pia kuwa kafulila alitaka kufanya kazi ya ccm bila ya yeye kujua. Machali...
  10. G

    Zitto amkaribisha Kafulila CHADEMA

    Mimi ni mwanajeshi kifani. Jeshini tuna kanuni za mapambano. Kanuni muhimu ni kuwatambua askari mamluki. Utawatambuaje? Askari mamluki huwa wanapigana kwa juhudi sana mwanzo wa vita. Lakini wanapoona mmekaribia kupata ushindi wao huanza kuzembea, kurudi nyuma, kuokoa nafsi zao na kuwashambulia...
  11. G

    Dr Slaa hajui kutofautisha mvao wa kichama na wa shughuli za kitaifa?

    Eti na wewe umefikiria? Utumwa mbaya. Halafu chadema hawana sare rasmi. Hizo combat unazoziona mitaani sio vazi rasmi la chama. Umewezaje kulogin? Mbona unaonyesha kama hujui lolote?
  12. G

    Kwa ninavyowafahamu CCM, CHADEMA chukueni tahadhari hii

    Tindo, umedokeza kidogo kuhusu zzk, usiogope kutaja jina. Unayemzungumzia ni zitto zuber kabwe. Huu ndio mlango wa kuingilia migogoro ndani ya chadema.
  13. G

    MB wa Shinyanga Mjini aenda Gabon kulinda kura!

    Mwizi kusimamia mwizi asiibe? Masele hakushinda na wala sio mbunge wa shy ni mbunge wa dar na dodoma. Hana wa kumuongoza. Anapataga taabu sana akija jimbon, anazomewa na kubezwa wazi wazi.
  14. G

    CHADEMA, ukiona wenzako wananyolewa wewe tia maji!

    Chadema nacho ni chama kama vyama vingine. Kina milango ya migogoro kama ilivyo kwa vyama vingine. Tofauti ya cdm na vyama vingine, chadema haijaruhusu madirisha kuwa milango ya migogoro.
  15. G

    Free and Independent Zanzibar

    Natamani muungano uvunjike. Naipenda jamhuri ya watu wa tanganyika. Free zbr, tumewatawala kiasi cha kutosha.
  16. G

    MAONI na MAPENDEKEZO ya CUF kwa Rais Kikwete: Soma nyaraka nzima...

    Hivi, mwenyekiti wa cuf ni nani? Ana elimu gani? Yule profesa wa mapumba asingekubali kujiaibisha kijinga namna hii. Nasikia cuf bungeni walishikiwa bunduki ili wapitishe na kushangilia wasichokiamini. Dah, baba kubwa.
  17. G

    Uliyasikia matusi ya clouds FM jana? Unayakubali?

    Mwisho wa kusikiliza redio mipasho ilikuwa 2007. Hamia rfa, kwa redio mahili na yenye maadili.
  18. G

    Mh. Mbowe aongelea yaliyojiri Ikulu

    Siasa hizi. Leo watu wa cuf na ccm ndio mmekuwa wa kwanza kusema chadema imewasaliti. Wakati mlipokuwa mnashangilia kupitishwa kwa sheria mbovu mlikuwa namjiita wazalendo. Twendeni tukarekebishe katiba na wala sio kuandika katba mpya. Katba mpya itaandikwa baadae. Mind you, serikali yoyote...
  19. G

    Masoud kipanya asimulia jinsi alivyotimuliwa kazi cloudz fm

    Haina tatizo, wanaharakati tumeshaleta ANTIVIRUS ya kuiscan na kudelete hcho kirusi. Ni kirus kibaya sana.
Back
Top Bottom