makala nzuri toka kwa Mheshimiwa Kigwangala. Sasa naona kwa nini kuna wanaodhani unaweza kuwa Waziri Mkuu wetu.
Una vionjo fulani hivi vya kifalsafa ambavyo mtu hawezi kuviona mpaka akusome maandiko yako. Endelea kuandika. Maandiko yako yatakutoa. Jipambanue kwa kuweka hoja zako kwenye maandiko...
Huyu Mzee kama ana washauri basi aachane na siasa alee wajukuu nyumbani kwake...kwa maana ni ngumu sana kwake kufikisha hata kura kumi tu. yeye na mama Makinda wanaenda kupata shock ya mwisho ya maisha yao...wataangushwa vibaya sana na akina Ndugai na timu yake ambayo imejipanga vizuri sana
Kigwangala for PM no, Makamba for PM no, Mwigulu for PM no...wote hawa bado bado
wapewe Wizara kamili wafanye kazi kwanza wachote uzoefu.
Dr Hamisi Kigwangala - Waziri wa Afya au tamisemi, au Uchukuzi
mwigulu ncehmba - Waziri wa Fedha, au Kilimo
January Makamba - Waziri wa Afrika Mashariki...
Kigwangalla ana uzoefu na TAMISEMI, bunge lililopita amefanya kazi nzuri sana kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya TAMISEMI, nadhani anafaa kuaminiwa kumsaidia Rais Magufuli kuijenga Tanzania mpya.
Uwaziri Mkuu kwa Kigwangala bado sana, lakini Wizara ya Afya, kwa kuwa amesomea na kubobea huko...
1. Jaji Agustino Ramadhani - wasifu wake wa uadilifu na utumishi jeshini na serikalini ni hazina kubwa, pia sababu za kisiasa za kuwa mzanzibari na 'mkristo' ukizingatia wazanzibari hawajatoa Rais kwa mihula miwili sasa na hii ni 'zamu' ya wakristo {japokuwa haijaandikwa popote lakini ndiyo...
Kwa namns ilivyo watu wengi hawana matumaini na wazee waliokaa madarakani zaidi ya miaka 30 wakiongoza. watu wanaona hivi hawa wana jipya lipi la kuleta nchini zaidi ya historia zao kugubikwa na ufisadi, uzembe, undugunaizesheni, ubadhirifu wa mali ya umma na urasimu?
wapiga kura kwa zaidi ya...
Haya hapa chini ni maneno aliyoandika Dk Kigwangalla kwenye ukurasa wake wa facebook jioni hii kujibu mapigo ya Dk Hasy Kitine: https://www.facebook.com/hamisi.kigwangalla?hc_location=timeline
Wakati nafanya tafakuri ya kama nigombee Urais mwakani ama la, haikunitokea hata siku moja kutamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.