Search results

  1. K

    Tusilaumu aliyepewa PhD kama zawadi tukasahau Kumlaumu Mtoa zawadi

    WATAALAM MSIKUBALI KUPAKWA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA Taasisi kubwa ya elimu kama Chuo kikuu inapomtunuku cheti cha PHD mtu ambaye hastahili kwasababu tu ni #Kiongozi au #mwanasiasa na anaweza kuwasaidia personally wataalam husika (waliompa cheti kwa hisani) mbeleni ni hatari sana kwa afya ya...
  2. K

    Je, vyama vya upinzani vimejiandaa kushindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu ?

    Ndugu wanajamvi; Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October 2015 mijadala mingi ya kupendekeza na kubashiri kiongozi mkuu wa nchi (Rais) imejikita kwenye chama kimoja tu ambacho ni chama tawala CCM. Mijadala hii inaongozwa na kuchangiwa na watu wa pande zote yaani wapinzani na watu...
  3. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Mmoja wa vijana mahiri wanaotumiwa na ccm kupata taarifa za ndani ya CHADEMA bwana Patrobas Paschal amechukua fomu ya kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa. Kijana huyo ambaye kwa sasa ni mfanyakazi wa Sahara Media Group wamiliki wa Star Tv, Redio free, kiss fm na gazeti la msanii afrika...
  4. K

    Mbowe afuta kauli chafu za chadema dhidi ya cuf kwa vitendo

    Wakati huo hatukuona nguvu yao. Lakini kwa sasa kwa mujibu wa Mwenyekiti wetu Mh. Freeman Aikaeli Mbowe ni kwamba kwa sasa wamegundua na wanaamini CUF ni MARIJALI wasiotia shaka wamewapimaje URIJALI huo hatujui. Tafakali picha hizi.
  5. K

    ACT - Tanzania yapeta mkoa wa Arusha na Simiyu

    HONGERA WANANCHI WA MKOA WA ARUSHA NA SIMIYU KWA KUKIPOKEA VIZURI CHAMA CHA ACT - TANZANIA NA KUFANIKISHA ZOEZI LA UHAKIKI WA WANACHAMA LEO. HAKIKA USAJILI WA KUDUMU UNAKARIBIA. Aluta continua
  6. K

    Mamia ya wananchi wa Mwanza wajitokeza kwenye zoezi la uhakiki wa wanachama wa ACT - Tanzania.

    Siku ya jana wananchi wazalendo na wapenda demokrasia katika mkoa wa Mwanza walijitokeza kwa wingi sana katika zoezi la uhakiki wa wanachama wadhamini wa Act - Tanzania uliofanyika Jijini Mwanza katika ukumbi wa Aspen hoteli. Ni wazi kwamba chama hiki kimepokelewa vizuri sana na wananchi kwani...
  7. K

    ACT - Tanzania yavunja ngome ya CHADEMA Mwanza, yazoa wanachama wote wenye uelewa

    Chama kipya cha siasa ACT - Tanzania jana kilifanya mkutano wake wa kwanza wa hadhara jijini Mwanza katika viwanja vya Shule ya msingi Mbugani. Mkutano huo ulitanguliwa na ufunguzi wa matawi mawili ya ACT katika kata ya Igoma na Mecco. Watu wa Mwanza wameipokea vizuri sana ACT kwani...
  8. K

    M4C- pamoja daima ililenga kumuunga mkono Edward Lowassa

    Mbowe anawaburuza wanachama wa chadema kwa kuwachezesha ngoma wasiyoijua. Hivi majuzi wamekamilisha oparesheni waliyoiita M4C Pamoja daima kwa kisingizio kuwa wanahamasisha watanzania kushiriki kwenye mchakato wa katiba mpya kumbe wapi kwenye jina la movement hiyo kitu kilicholengwa ni...
  9. K

    Makonda Karusha jiwe Gizani kwanini Washabiki wa Lowasa wanamuandama?

    Ndugu zangu nimejaribu kusoma mara kadhaa tamko lililotolewa jana na Kiongozi wa UVCCM uhamasishaji na chipukizi, nililazimika kulitafuta na kulisoma baada ya kuona washabiki wengi wa Lowasa wakimshambulia Makonda eti kwanini ametoa tamko hilo la kukemea viongozi kutangaza nia kabla ya wakati...
  10. K

    Vyama vya siasa wanapobuni maana mpya za maneno kwa maslahi yao binafsi ni ubakaji wa demokrasia

    VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WANAPOBUNI MAANA MPYA ZA MANENO KWA MASLAHI YAO BINAFSI NI UBAKAJI WA DEMOKRASIA. Tunafahamu kuwa kazi ya kutafsiri maana na kuidhinisha tafsiri na maneni mapya ya kiswahili inafanywa na baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) lakini cha ajabu kwa sasa kuna...
  11. K

    Chedema inahitaji harakati mpya: Movement for positive change (m4pc).

    MBOWE ALIPEWA UENYEKITI CHADEMA KWA MISINGI YA UKWE, SASA AMEKOSANA NA MKWE ATAMNG'OA. Ikumbukwe kuwa Freeman Mbowe hajawahi kugombea uenyekiti CHADEMA (kugombea kwa maana ya kuwa na ushindani) mara zote amekuwa akipitishwa tu bila kupingwa. Hali hii ilisababishwa na uhusiano binafsi...
  12. K

    Msigwa analitaka bunge kuwaomba radhi Maige na Ngeleja

    Katika wakati ambao wabunge bila kujali itikadi zao wako na hekaheka za kutaka waziri mkuu mawaziri waliosababisha madhara kwa wananchi kupitia oparesheni tokomeza wajiuzuru, Mbunge wa Iringa Mchungaji Peter Msingwa amelitaka bunge eti liwaombe radhi waliowahi kuwa mawaziri wa serikali ya...
  13. K

    Ufisadi CHADEMA tukiyajibu haya 2015 asubuhi tunachukua nchi

    FREEMAN MBOWE, KIONGOZI ALIYEFANIKIWA KUIFISIDI CHADEMA KWA KUWAAMINISHA WANACHADEMA KUWA MIGOGORO YOTE INAYOTOKEA CHADEMA NI MPANGO WA CCM Mara zote Mbowe na Slaa wakiulizwa kuhusu migogoro inayoendelea Chadema wao jibu lao ni moja tu "Ni mipango ya CCM kutuvuruga Chadema ni tishio kwao"...
  14. K

    Historia ya Mbowe isitumike kubaka Democrasia CHADEMA

    MBOWE ATAKA HISTORIA YAKE ITUMIKE KUHALALISHA YEYE KUBAKI MADARAKANI KWA MABAVU KWA KISINGIZIO CHA KULINDA CHAMA Mbowe anadhani historia yake binafsi katika chadema inaweza kutumika kufunika vitendo vya ubakaji wa democrasia katika chama ikiwa ni pamoja na yeye kunyofoa kifungu cha ukomo wa...
  15. K

    CHADEMA SAUT kutumika kuficha aibu ya Mbowe Mwanza

    Tawi la chadema SAUT limejipanga kutumika kama kichaka cha kuficha aibu, ufisadi na uchu wa madaraka wa Mwenyekiti wa chadema taifa Nd. Freeman Mbowe. Matumizi ya tawi hili yamekuja siku chache baada ya tamko lililotolewa na mwenyekiti wa matawi ya Chadema Mwanza Mh. Gwanchele, tamko anbalo...
  16. K

    Nguvu ya umma imewageukia mafisadi wa CHADEMA, oparesheni timua Slaa na Mbowe iendelezwe

    Ndugu zangu Ili tuendelee tunahitaji fikra mpya za kujenga, kama kila kijana mwenye wazo jipya atapingwa kwenye hivi vyama vyetu vya siasa hatutafika mbali. Viongozi wa juu wa Chadema wamekuwa wakiendesha ufisadi na ubabe kwenye matumizi ya ruzuku ya chama. Kwa muda mrefu imekuwa kila...
  17. K

    Habib Mchange awaliza wanaCHADEMA Mwanza, washinikiza asiongee, hoja zake zateka kongamano

    Nilipata fursa ya kuhudhuria kongamano lililofanyika Mwanza hotel Jana. Nilishuhudia wanachama wa chadema M4C group Mwanza wakilizwa hadharani na mwanasiasa kijana Bw. Habibu mchange. Wanachama hao walilizwa na kupanikishwa na Bw. Mchange wakati wa kongamano lililokuwa likijadili mada isemayo...
  18. K

    Wenje awadanganya, kuwadhihaki na kuwaibia wananchi wa nyamagana

    Mbunge wa jimbo la Nyamagana Mwanza Ezekia Wenye amewadanganya na kuwadhihaki wananchi wa jimboni kwake kupitia mikutano yake ya hadhara aliyoifanya sehemu mbalimbali na kuwaambia wananchi hao kuwa yeye ni mbunge pekee anayetumia fedha za mfuko wa jimbo vizuri kwani matumizi ya fedha hizo...
  19. K

    Wenje kung'olewa asubuhi 2015

    Wananchi wa Nyamagana hawaridhishwi kabisa na utendaji wa kazi wa bwana Wenje ambaye siku chache baada ya kuchaguliwa kwake amehamishia makazi yake jijini Dar es Salaam. Mkakati wa wananyamagana ni kumuondoa Wenje mapema 2015 kwani kwani kungekuwa na uwezekano tungemtimua hata sasa. Shame on wenje/
  20. K

    Tundu Lisu azuiwa kufanya mkutano chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino

    Waziri kivuli wa sheria na katiba Mh.Tundu lisu leo saa kumi kamili jioni amezuilgwa kufanya mkutano katika chuo kikuu cha mtakatifu agustino Mwanza. Anayedaiwa kutengeneza zengwe la zuwio hilo bila sababu za msingi ni mkuu wa idara ya sheria chuoni hapa anayefahamika kwa jina la Kirangi ambaye...
Back
Top Bottom