Search results

  1. J

    Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    jamani mbona haindeleiiiiiiiiiiiiiiiii!
  2. J

    Jamani kwa yeyote anayejua 'siku ya kushika mimba hapa ni ipi'??

    habari ni njema mdau, kwa tarehe ulizoanisha hapo juu, mzunguko wa mkeo utakuwa kama ifuatavyo tarehe 14-18 bleeding tarehe19-23 safe day/siku salama hawezi kupata mimba hapa tarehe24-26 kuna uwezekano wa kupata mimba na mara nyingi ukifanya mapenzi una uwezekano mkubwa kupata mtoto wa kike...
  3. J

    Mhariri Mtanzania: Kwa siasa za shari, CHADEMA kinajifuta; marehemu alikuwa akiifanyia kazi CHADEMA

    magu, hapo nawe unajikanganya! kama weweumeona hoja katika tahariri hiyo lazima una matatizo ya uelewa, ukiisoma kiumakini tahariri hiyo na kuichambua utagundua kwamba mwandishi ana conflict binafsi na chadema, inayohusiana na ajira! pili anafanya kazi nyuma ya mwavuli fulani nadhani wa kisiasa...
  4. J

    Kati ya Magamba na M4C nani zaidi Jangwani

    jibu linaoneka wazi wala usihangaike kutumia kikokotozi....... PEOPLEEEEEEEEEEEEEZ POWEEEEEEEEER!
  5. J

    Sasa RASMI gazeti la Mwananchi na TanzaniaDaima ni mali ya Chadema.

    enhee tene umenigusa mkuu maana nimeona habari moja kwenye gazeti la jambo leo limenikera kweli, eti CCM YAFUNIKA DARA NZIMA hawa mi naona wamelala ilifunika wapi? mbona mkutano ulifanana na ule wa UDP wakati wakifungua kampeni za urais 2010, hakukuwa na jipya na sikuona ni kwanini chama tawala...
  6. J

    Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    ndugu yangu osokoni unanipa hasira sana, kwa sababu nape haliwakilishi kanisa anaiwakilisha ccm, je unasemaje kuhusu waislamu walioko ccm nao lao ni moja na hao wakristu wakina nape? je watoke waende chama gani TZ kisicho na wakristo? wewe ni mdini ila bado una nafasi ya kujirekebisha maana nia...
  7. J

    Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    hoja hapa si uislamu au ukristo, acheni uvivu wa kufikiri, kila mtu ana dini yake au aweza kuwa mpagani, hoja yetu ni kwamba ccm wametufanyia nini zaidi ya kuhubiri amani na utulivu ambao haupo? ziko wapi rasilimali zetu, ziko wapiu huduma za afya, elimu bora, maji, barabara, uchumi endelevu n.k...
  8. J

    Mkutano wa CCM Jangwani: Nape anawatukana UAMSHO na kuwaita Wezi wakubwa na Majambazi...

    miaka hamsini wameshindwa kugusa maisha ya mtanzania leo wanagusa, hiyo ni ndoto mkuu, CCM hawawezi tena na wala hawana nia ya kufanya hivyo, kama wewe una nia nzuri fanya haraka hamia CHADEMA mapema tukawakomboe watanzania, kama unaendelea na gamba lako subiria tukukomboe 2015
  9. J

    Waraka kwa mwenyekiti CHADEMA: Sio wapiganaji wote wana hekima!

    naungana na wapiganaji wenzangu wote kwamba CHADEMA sasa ni chama kinachokaribia kuchukua dola, ni lazima tuoneshe ukomavu wa kisiasa, busara na hekima. lah sivyo tutapoteza uaminifu kwa wananchi ambao tayari wameshajitoa kukisuport chama! tuwafunde wanasiasa wetu, tushiriki katika shughuli...
  10. J

    Slaa, Lissu na wafuasi wao wafikishwa mahakamani Arusha

    watajutia uamuzi wao mbovu wa kutukandamiza, sisiemu inataka kufanya nchi ya kwao, wanawezaje hata kuingilia uhuru wa mahakama, mana ni wao waliokataa lema asitolewe jana then wanafanya mambo yawe even more worse, unajua wanadhani yataishia arusha, wanajidanganya na yakichanganya fresh...
Back
Top Bottom