TRA acheni kukimbizana na wafanyabiashara wazawa tena wadogo.
Kampuni ya wahindi Cool Blue hawaruhusiwi kutoa efd, mbona hamdili nao au hii kampuni mkubwa gani ana share kule?
Copy nimetuma kwa Waziri wa Fedha .
Mwanadada Twaiba classic amekiri kutapeliwa na mwanadada Khadija Naif zaidi ya Tsh milioni mia sita. Wawili hawa walikutana Instagram na kuwa marafiki
Twaiba hakuwa na hofu nae.
Alimuambia atamuunganisha na wawekezaji wakubwa tu maana ndo kazi zake za kuleta wawekezaji nchini pia ameolewa na...
Naombeni msaada wa hospitali nzuri ya kuondoa Bawasiri au Uvimbe huko njia ya haja kubwa. Sipati maumivu yoyote nimeamua tu kukitoa hicho kinyama sikitaki.
Naombeni msaada wa hospitali na gharama zake
Ningekuwa sijawai kukutomba ningekudhalilisha sana hapa .ila kwa vile nilikukojolea Tena sana nakusitiri tu.but don't ever provoke me again.you know me
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kuona watu wanafanya usafi.Leo wanapita kila duka kukagua kama una dustbin.kama huna fine elfu hamsini.
Huo utaratibu wa dustbin ulianzishwa lini?
Natamani kupata mwanamke wa kufunga nae ndoa mwaka huu, umri wangu ni miaka 38, sijawai kuoa wala kuzaa na mwanamke yoyote nilikuwa masomoni Ujerumani.
Mwanamke awe na umri wowote, dini yoyote, awe tu anajitambua hata kama ana tabia mbaya au ni single mother au ni divorced awe tayari kubadilika...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.