ndiyo nilienda kupiga kura na karatasi za kura nazifahamu.....hizo sio sample zilizotumika katika mafunzo..kwanza tangu lini sample ikapigwa muhuri wa tume,sample zilizotumika kwenye mafunzo ni plain na ni white...sample haina muhuri...ni bahati mbaya tu hujui unataka kumdanganya mtu ambaye...
simba imeanzishwa mwaka gani mkuu??kwanini miaka yote iyo imeshindwa kuendeshwa ki taasisi unayoisema wewe??acheni siasa kwenya maswala ya msingi....miaka yote iyo timu ilikuwa katika hali mbaya hawa vimdomovimdomo walikuwa wamejificha...katokea mtu ameanza kufanya vitu vinaonekana vimdomodomo...
hata akiwapa watoto zake na wake zake ivyo vyeo kama timu inapata mafanikio kuna ubaya gani???kati ya kipindi ambacho alikwepo na kipindi ambacho hakwepo ni kipindi kipi ambacho simba imepata mafanikio...???ipi ni shida kwako haswa.. mbona izo timu ambazo haziendeshwi kiundugu unaousema wewe...
naomba nielewesha hapa mkuu...vipi kwa wale walioajiriwa kiwango chao vha elimu kikiwa darasa la saba,wanatambulika vipi kwenye payroll wakati hawana iyo namba ya form four
kweli mkuu,kuna wengine waliahidi milioni 50 kila kijiji na ahadi nyingine kemkem alafu baada ya kupata kura wamejikausha kama si wao..wamerudi tena safari hii kutulaghai na uongo mwingine..wanafkiri tumesahau
Mkuu ebu ni jibu kwanza hili swali...trilioni 1.5 inaweza kutoa huduma za afya bure kwa watanzania wangapi?ukinijibu hili swali nitajua kama lissu ni muongo or mkweli
Changamoto ya Yanga ni kimataifa kumbe... sawa mtaendelea kuchezea 4g hapa ndani na huko kimataifa mtaishia tu kuwaona kwenye tv kina Namungo ndio wanaiwakilisha nchi...
Mic you too madam akee...yeap ni kweli nimeadimika...kuna sehemu nipo ni bush kidogo na mtandao huwa unasumbua sumbua kiaina..c unajua tena mihangaiko hii ya maisha...ngoja nakufuata pm madam or ilenamba yako tsup ipo available??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.