Search results

  1. B

    Hivi ndivyo Makonda, Ikulu walivyomponza Askofu Malasusa kwa kumshawishi kuukana waraka na kuendeshwa kwa gari ya Ikulu

    Huyu Askofu Malasusa atageuka jiwe la chumvi kwa usaliti wake. Hilo wazo la kusema ataiondoa DMP ndani ya KKKT ni ya kujisumbua maana kanisa ni Washirika wala si hayo madaraka yake. Akitaka aondoke ndani ya kanisa atuachie familia yetu. Wengi wa waumini wa KKKT - DMP tuko upande wa Maaskofu/...
  2. B

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    Amri Jeshi wa Jeshi anajiuzulu nchi ikiwa vitani! Huo ni uasi - kama kapokea fungu basi ni laana. Tumempoteza kamanda muhimu ila dhaifu na mwoga. TUNASONGA MBELE
  3. B

    CUF: Taarifa kwa waandishi wa Habari juu ya Kujiuzulu Mwenyekiti Prof. Lipumba

    UKAWA daima mbele. Hakuna kurudi nyuma
  4. B

    Huyu ndiye askofu Gwajima ninayemfahamu, Wakristo jihadharini naye

    Wajumbe nina habari ya kuweza kuwajuza. Nimemfuatilia kwa muda sasa huyu "Mchungaji" Gwajima kabla na baada ya tuhuma zake kuwekwa wazi nikiwa muumini wa kanisani kwake na kuwa nimegundua yafuatayo ambayo yaweza kuwa msaada kwa jamii yetu na kanisa la leo:- Ameweza kujijengea himaya ndani ya...
  5. B

    Supermarket inayomilikiwa na Wachina Dar yabagua Watanzania weusi

    Wakiendeleza huo upuuzi tutawatimua wote warudi kule kwao. Waombe yasije yakawapata yaliyowapata wageni kule afrika ya kusini.
  6. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Anayo haki ya kujilinda jamani. Bilionea asijilinde katikati ya fukara unategemea nini?
  7. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Suala la ulinzi ni kwa yeyote hivyo kuwa na fence si spiritual
  8. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Wadau kama mkiichunguza hiyo picha ni kuwa imepigwa na Askofu Gwajima mwenyewe ama msaidizi wake kutokea ndani kwake ndo maana gari ya polisi inaonekana kupitia kwenye fence. atakuwa ameipiga akiwa ndani kwake akamtumia mtu wake wa inforamtion David Mgongolwa (mmoja wa wachungajki wake kati...
  9. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Wadau kama mkiichunguza hiyo picha ni kuwa imepigwa na Askofu Gwajima mwenyewe ama msaidizi wake kutokea ndani kwake ndo maana gari ya polisi inaonekana kupitia kwenye fence. atakuwa ameipiga akiwa ndani kwake akamtumia mtu wake wa inforamtion David Mgongolwa (mmoja wa wachungajki wake kati ya...
  10. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Gwajima aweza kuwa kiongozi mzuri sana aliyeweza kucheza na akili na maisha ya watu ila ana kosa hekima kama mpakwa mafuta wa Mungu. Hicho kiburi cha kutoa amri kwa mkuu wa nchi na mamlaka zake anapata wapi? hata biblia inasema tiini mamlaka zilizopo. Asiichukulie nchi kama hao wanaojiachia...
  11. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    why amwache Mungu amshughulikie? Mbona Gwajima hakutaka kumwachia Mungu amshughulikie kama anavyowaamnisha? Hivi hamjiulizi? Mambo yake huwa anawaambia mwacheni Mungu amshughulike pale mnapoona amekwenda kinyume ila ya wengine hutaka kuwashughulikia mwenyewe. Huo ni unafiki uliotukuka - kufanya...
  12. B

    Nyumba ya Askofu Gwajima imezungukwa na Polisi sasa hivi

    Hivi mmelogwa? Yaani mnakaririshwa biblia na kuanza kujiropokea mtaani kisa mu wapakwa mafuta? Someni biblia na roho awaongoze. Mnatetea maovu kisa mtu kujitangazia uungu! Gwajima yu nani hata atoe order kwa Amiri Jeshi Mkuu wa nchi? Hicho kiburi cha kutoa order kwa Rais wa nchi anakipata wapi...
  13. B

    Press conference: Lowassa apelekewa ujumbe mzito

    Hizi zote njaa! Mtu anatafuta ujira kwa siasa na maneno ya kuokoteza. Na bado mtachafuana tu!
  14. B

    Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

    TMJ hatuna mwana JF? Need latest za Gwaji ma
  15. B

    Gwajima Siyo mtanzania, hatarini kurudishwa kwao

    Hata Bashe ilikuwa hivi why those days?
  16. B

    Mke wa Gwajima aibua hofu afya ya mumewe

    Fafanueni jamani huyo ni mke wa ndoa ama ni mmoja wa hivyo vimada aliowapangishia mtaani? Pole mama Grace hilo ni funzo kuwa mumewe awe na kiasi na kinywa chake na msimame kweli kwenye neno wala si kwa maslahi na tamaa za dunia hii. Mali na mamlaka ni vitu vya mpito. Unavyoumia kumkosa mumeo...
  17. B

    Gwajima Akifa, jeshi la Polisi linaweza ingia matatani

    Hatuombei afe ila ikitokea kajitakia mwenyewe kutokana na kuropoka. Isitoshe alihojiwa mbele ya wasaidizi wake na wakili wake pia hivyo isingekuwa rahisi kudhuriwa na polisi. Itakuwa ni mshtuko tu baada ya kugundua Kila sentensi aliyotamka na kushangiliwa na waumini wake alitenda jinai. Ukweli...
  18. B

    Mazoezi ya ndege za kijeshi anga la Dar es Salaam ni hatari

    Wataendaje huko porini bila kutokea hata airport? Ni changamoto!
  19. B

    Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    Wasimwachie upenyo aweza akawa anaigiza then wafuasi wake wamwibe wadai kanyakuliwa.
  20. B

    Hali Ya Askofu Gwajima Kwa Sasa

    Acheni kiburi aombe msamaha hata akiondoka aondoke kwa amani. Kiburi na pesa zake zimetesa wengi nanyi wasaidizi wake damu yake itakuwa mikononi mwenu kwani mlishindwa kumshauri mkang'ang'ania kumsujudu. Bado hamjielewi? Please asisahau kuacha wosia wa nyumba za vimada anazolipia. Si mlikuwa...
Back
Top Bottom