Search results

  1. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    walozoea uongo hawawezi kujifunza ukweli. Hati za Muungano ni batili, CCM wanafanya haya kwa faida ya nani?????
  2. M

    Kondo kutangulia mbele

    acha ujinga muulize daktari wako ina maana gan na mazara nn? Tatizo watu wengine mnapenda majungu badala ya kumuuliza mtaalamu unaleta majungu utazani madaktari hawaelezi haya mambo. acha majungu
  3. M

    Hii ndiyo familia inayotawala ulimwengu!!

    mmmmmh, haya:llama:
  4. M

    Huhitaji kung'ang'ania!!!!!

    uuuuuwi:flame:
  5. M

    Mauaji kiteto??!!

    Inasemekana watu 6 wameshapoteza maisha. Mwenye habari kamili atujuze tafadhali.:llama:
  6. M

    R.I.P Ariel Sharon ( shujaa aliyempendeza mungu kwa kulinda taifa lake)

    R.I.P kamanda. Mungu aitunze Israel. In Jesus name.
  7. M

    Zitto na Kitila wavuliwa vyeo vyote ndani ya CHADEMA

    Wakati umefika, huyu dogo Zito ni hovyo sana, tena kamati kuu imechelewa sana lakini hatimaye imefanya kweli. Big up....
  8. M

    J.J Mnyika: once again, well done, keep up the pace, hit them up

    Mnyika keep up! Mungu akutie nguvu. Watu dhaifu km Nape wasikukatishe tamaa ni makapi tu hao!! Keep up tuko pamoja. Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
  9. M

    Ahsanteni sana Marando, Prof. Safari kwa kutuonyesha undani wa Chadema

    Pathetic, mwandishi anatumia anus kufikiri,
  10. M

    Kila penye rushwa ndani ya CCM anatajwa Lowassa , je hii ni kweli?

    Wana JF naanza kupata wasiwasi na kushindwa kuelewa juu ya swala hili. Hivi ni kweli Mh. Lowasa ni mtoa rushwa mkubwa kiasi cha kuweza kuhonga kila mtu na kufanikiwa kiasi hiki ninachosika na kuona kikionyeshwa na wapinzani wake? Rushwa jumuia za chama(wazazi, wanawake, vijana, ujumbe NEC, nk)...
  11. M

    Membe asaini mkataba bila kuusoma nchini China, mwakilishi aja juu, rais Kikwete amtetea!

    Alisema akioteshwa atagombea urais. Shame on you Membe!! Umetia aibu na hufai kuwa sehemu ya uongozi wa nchi sawa na jamaa yako JK. Go to hell both of you.
  12. M

    Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

    Wanaoitwa vijana ambao wako CCM ni mafisadi watoto ambao mpango wao si ukombozi wa nchi ila matumbo yao. CCM ni genge la wezi waliokomaa na wanaojifunza mbinu za kuibia nchi. Hujiulizi kwa nn kigwangala na Bashe walitaka kuuwana? wizi mtupu.
  13. M

    Yanayojiri mkutano wa taifa vijana, Dodoma...!

    Yeye mwenyewe kabomoka ataweza kweli kuwajenga vijana? Yeye ndiye mla RUSHWA mkubwa na yupo alipo kwa rushwa anawezaje kuwashutumu wenzake? SHAME ON YOU JK
  14. M

    Maisha ya watanzania kuboreka kwa kasi baada ya ziara ya rais huko canada

    presidaa kimeo, mwacheni zumbukuku huyo
  15. M

    Lipumba: Waislam Tanzania piganieni haki zenu na msirudi nyuma

    Prof hatimaye amefariki rasmi kisiasa kwa kauli hii ni kauli za marehemu wa siasa wana JF tumuandalia mshikaji mazishi hainuki tena. Kwishne maskin Prof Lipumba na pumba zake.
  16. M

    Hii katuni ya Kikwete vipi?

    JK anatuaibisha sana, hana mashiko. jamaa hailewi wala hasikii. inawezekana hana nyumba nzuri bongo au bado ikulu inakarabatiwa nn?
  17. M

    Rais Jakaya Kikwete atembelea mashamba ya mananasi Ghana

    SASA WANA JF Ghana hakuna bembea, ameona afadhali aende kuona mananasi ili siku ipite, bembea zingekuwepo angeenda kubembea. Kwani jamaa hamumjui?
  18. M

    Nape azungumzia Harambee ya CHADEMA, wamjibu na kusema kakurupuka!

    Hii ya nape nimeipenda. Maskini Nape anatia huruma........ HAJUI ALITENDALO! Sasa wan JF mnadhani angesemaje na moto umeshawaka. BIG UP CDM mwendo mdundo.... mpaka kieleweke
Back
Top Bottom