Search results

  1. O

    Arusha - polisi aliyehusika wizi $ 50,000 atoroshwa!

    Kwa askari wa tz hicho ni kiwango cha fedha ambacho hategemei kukipata maishani!
  2. O

    Polisi tumedhulumia posho za tamasha!

    Well said GAZETI wakibadilishwa hawa tunaamia kwa walimu kwani haya ni makundi yenye wtz wengi na pia ushawishi kwa raia Usisahau nafasi yao ktk zoezi zima la uchaguzi
  3. O

    Polisi tumedhulumia posho za tamasha!

    Nashauri busara itumike katika hili,inawezekana kabisa huyu ni kati ya wale waliouelewa waraka wa Mwigamba sasa anaanza kuufanyia kazi,atiwe moyo badala ya kebehi. Mi nahisi tukiwakaribisha hawa jamaa vizuri jamvin tutapata mengi sana yanayowahusu,mi naamini si wote hupiga wananchi kwa kupenda...
  4. O

    Nani kafumaniwa

    Msamehe bwana! ila mi nauza MAJENEZA ukianza kukohoa tu ni PM,Mungu anakupenda mwenyewe hujipendi wenzako kibao hawajabahatika kuona we unaonyeshwa unajitia upofu.
  5. O

    NCCR Mageuzi yamfukuza uanachama Kafulila na wenzake!

    Massikini kafulila amepishana na posho!!
  6. O

    Ninawasiwasi mkubwa na ujenzi huu

    Hakuna sababu ya kutokwa mapovu,kama unauelewa tufahamishe kwa ustaarabu kwani sie tunaona kama ni tatizo
  7. O

    Hukumu ya Hamadi iko Wawi inamsubiri,Maalim ambwa abakie kuwa kimya.

    We ni gt bwana ebu jaribu kutoa hoja zenye mashiko na source,huu tunauona kama unafiki na chuki binafsi kwa HR, kwani kuna mbunge gani wa CUF hakumsema Lisu bungen?nani hakushangiliwa na magamba?
  8. O

    Makomandoo wa Bongo

    Umemaanisha kwamba wao hawtakiwi kupanda daladala?
  9. O

    Nauza mke wangu

    Sijaipenda hii aina ya biashara
  10. O

    Anataka nifanye nae mapenzi kutokana na mateso ya mumewe

    Nenda kinakachokupata usituambie maana tunakijua
  11. O

    Lowassa aikana Richmond, asema alijiuzulu kwa heshima ya serikali na chama chake!

    Hivi ni kweli EL ana hizi sifa anazopewa humu jf?
  12. O

    Hello Everyone

    K aribu jf mrs wa mtu
  13. O

    Helow!

    Karibu mdau
  14. O

    Mh Mkosamali safi sana, Machali umeniangusha

    MACHALI apinga kwa nguvu zake zote huku akizomewa na wabunge wa ccm nahisi yuko sahihi kutosusia kikao maana asingetoa hisia zake za moyoni
  15. O

    Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

    Kama kuna mwana jf anaangalia bunge ataona kulikuwa na umuhimu wa wabunge kutosusia mjadala bali wangeupinga kwa hoja kama anavyofanya MH.JOSEPH MACHALI-KASULU MJINI[NCCR_ MAGEUZI]
  16. O

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Baada ya kipindi cha maswali na majibu kuisha spika aliendeleza mjadala wa jana[mswaada wa katiba] ndipo jamaa wakatoka nje huku spika akicheka na kusema 'WENGINE WANAENDA KUNWA CHAI'
  17. O

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Khaaaa!!! Mrema mnamsikia jamani???
  18. O

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Kifupi jamaa hawakubaliani na mswaada wa katiba kusomwa mara ya pili spika akauendeleza na baada ya mnyika kuomba muongozo na kukataliwa na mama kilango kuruhusiwa kuongea ndipo wakatoka nje
Back
Top Bottom