Search results

  1. R

    On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

    Ndugu mtangazaji, naomba uwaongoze Mtatiro na Nchemba waende kwenye hoja na mada husika wasitumie muda mwingi kutoa shutuma.
  2. R

    On Star TV: Zitto, Nchemba na Mtatiro ktk mjadala wa kutathmini ya Siasa Tanzania 2012

    Mwigulu Nchemba, jaribu kutoa tathimini ya chama katika mwaka 2012 , hacha malumbano, Naona umeanza kutoa shutuma ambazo hazina msingi za kujenga chama.
  3. R

    Posho za Wabunge na Maisha ya Dodoma

    kweli halishiba hamkumbuki mwenye njaa. wewe unaopata wapi ujasiri wa kusema "kwamba wengi wa Wabunge waliokuwa wanapinga posho ni wale wenye uwezo mkubwa sana kipesa kwamba hata hawahitaji hiyo posho ya sh. 70,000 kwa siku maana kwao ni peanuts na ni wachache sana, ninasema hii hoja ijadiliwe...
  4. R

    Chama cha conservative cha Cameroon na CHADEMA

    ANGONET( mashirika yasiyo ya kiserikali na asasi mkoaani arusha) YAZUIA MISAADA YENYE HARUFU YA USHOGA, ........kiongozi soma vyombo vya habari UNAYESMA NGO zimekaa kimnya... JF ni mtandao wa wetu wenye kufanya utafiti kabla ya kurusha kitu hewani.
  5. R

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    kabla ujatoa shutuma kwa saad kubenea au sitta fanya uchunguzi wa kutosha.
Back
Top Bottom