Hellow wana jf, nmefurahi sana kuwa mmoja wa wana jamii, bila shaka kina faiz foxy, bujibuji na wengine kibao mliopo humu ndani mtanipokea vizuri.. Asanteni sana!
Habari wapendwa, nafurahi kuungana na ma great thinkers, bila shaka mtanipokea kwa mikono miwili. Ntahitaji sana msaada wenu jinsi ya kutumia jf vizuri pale ntakapokwama. Nawasilisha!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.