Search results

  1. mtayeshelwa

    Godbless Lema: Tunawaagiza Wanachama wetu hakuna sababu ya kumkosoa Rais Samia kwa sababu ameonesha kwa vitendo kuiheshimu Demokrasia!

    Asali asali asali tamu kweli kweli kama kuna viongozi wa UMOJA PARTY fanyeni haraka sana tuchukue kadi.
  2. mtayeshelwa

    Mbona Chama cha Umoja Party kipo kimya?

    Chama chocote ni genge la watu, bahati nzuri umekili ni genge la watu hivyo tayari limekidhi sifa za kuwa chama, maana chama cha siasa ni grup la watu wenye mtazamo na madhumuni yanayofanana.
  3. mtayeshelwa

    Arusha: Yaliyojiri mapokezi ya Godbless Lema, Adai VICOBA ni umasikini, Mama lishe ni utumwa, Samia asitukanwe, Mbowe ampa kazi ya Katiba Mpya

    Haihitaji akili kubwa sana kutambua kwa sasa hatuna upinzani wote waliopo ni CCM tu nipo nasubiria kwa hamu UMOJA PARTY IANZISHWE.
  4. mtayeshelwa

    Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili Nchini Kenya kuanzia 04|05|2021

    Mhhh haya mama ukitoka huko usisahau kupita United Kingdom.
  5. mtayeshelwa

    Lazaro Nyalandu ataongea na Watanzania kesho kuelezea udhaifu wa Upinzani kupitia kipindi cha Clouds 360

    Siasa za bongo zina utofauti mkubwa sana na nchi nyingine.
  6. mtayeshelwa

    Mbunge Musukuma asitake Kuhalalisha kuwa wenye Elimu ndogo wapendelewe, wasikilizwe sana na waonewe mno huruma na Watu kwa gharama ya kuwananga wasomi

    Mkuu unajua kwanini wengi waliosima King Msukuma anawazalau? Wengi wao ni masikini hawana hela, lakini msukuma hajasoma lakini anamiliki ukwasi wa maana tena inawezekana ameajiri hao wasomi. Pili elimu siyo more practical hebu chukulia mfano mtu ameasoma Bussness administration lakini...
  7. mtayeshelwa

    JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    Jeshi linaongozwa na utii na hutakiwi kuhoji chochote kutoka juu, bali kutekeleza, kinyume na hapo watakuondoa tu.
  8. mtayeshelwa

    Kwanini ni Mbowe, na kwanini Chadema haifi kama walivyoahidi?

    Hivi uliona wapi maiti inakufa ?
  9. mtayeshelwa

    Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

    Nimeamini mwamba JPM alikuwa anaogopeka balaa, huyu jamaa alikuwa kimyaaa leo baada ya mwamba kuondoka ndiyo anabwabwaja.
  10. mtayeshelwa

    Tetesi: Utata mkubwa ripoti ya CAG , kuna uhariri umefanyika

    Mjinga bibi mkubwa wako kwani umeliazimishwa kusima?
  11. mtayeshelwa

    Hotuba ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe aliyoitoa jana Aprili 11, 2021

    Wewe mwenyewe Mbowe mpuuzi mtupu , nini kilimpata Chacha Wangwe alipotaka kugombea uwenyekiti wa chama? Zitto Kabwe alidai kunyweshwa sumu alipopingana na msimamo wako, Wewe Makekengeza huna legality kabisa ya kumuita Magufuli kwa sababu wewe ndiyo dikiteta namba moja.
  12. mtayeshelwa

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Hii kampeni haitafanikiwa maana inakutana na cointer attak za kutosha .
  13. mtayeshelwa

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Ndiyo atabaki kuwa shujaa wa Africa siyo lazima umkubali wewe.
  14. mtayeshelwa

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Wewe Mbwa wa Mbowe nenda kalambe viatu vyake huku ukifuniliwa shenzi kabisa .
  15. mtayeshelwa

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Mbona wewe mwenyewe pamoja na mama yako mna Ukimwi lakini bado unaendelea kufumuliwa marinda. Nyambafu .
  16. mtayeshelwa

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Kakika Magufuli atabaki kuwa shujaa, haya yalitokea 2018 laikini yanasemwa leo baada ya kuwa marehemu. Magufuli utabaki kuwa mwamba wa Africa.
  17. mtayeshelwa

    Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

    Ushahidi autoe wapi sasa? Jamaa anabwabwaja tu pasikuwa na ushahidi.
  18. mtayeshelwa

    Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    Wewe kajamaa utakuwa unavuta bhangi kwani ulilazimishwa kuiunga mkono, kutokuinga kwako mkono kuna impact gani? Na kwa taarifa yako huyo mama yenu amesema miradi itaendelea Kama ilivyo Kama una chuki kufa.
Back
Top Bottom