Sijapenda hapo tu uliposema "wavaa vipedo" kwa kuwa unabagaza imani za watu lakini ni ukweli usio na shaka wazanzibar (wengi wao) ni wabaguzi na haubaguliwi kwa kuangaliwa dini yako tu bali unabaguliwa kutokana ubara wako.
Dah inasikitisha sana.
Huko CCM kama hakuna mwenye sifa toshelevu kupewa nafasi unayompigia chapuo Makonda basi tuna tatizo kubwa sana katika taifa letu.
Mungu tulinde na majaribu haya.
Watanzania sisi ni wanyonge sana hadi tunatia huruma.
Kuna sababu gani za msingi za kukosa huduma ya umeme?
Hivi kwa mfano serikali ingeamua kuingia ubia na makampuni kama changamoto hii inasababishwa na ukosefu wa pesa za kuwekeza kwenye miradi ya umeme hii shida ingekuwepo?
Joto tulilonalo...
"Kwenye hii dunia hata uko fit kiasi gani.. Usitangaze, usipige mikwara usijisifu hadharani na kujifanya Mungu anakupenda sana kuliko wengine.. Ni mbaya sana hii
Kumbuka ukijua hivi wao wanajua vile ukifanya hivi wao wanafanya vile.. Hata wauaji humuomba Mungu huyohuyo unayejitapa naye! Kumbuka...
Mpaka hapo umeshinda,kongole.
Ila remind you kuna hint (Mungu) ndiyo iliyokupa Gpa ya 5 kinyume na hapo umefeli mkuu Kiranga tena yumkini ikawa ni zaidi ya kujiharishia
By the way, mtoto anao wajibu wa kumtunza mzazi wake kadri ya uwezo wa mtoto husika.
Inashangaza na kusikitisha sana lakini...
Nimekujibu definition ya baraka na chini pale nikakwambia hii definition siyo relevant kwako kwa kuwa huamini uwepo wa Mungu.
Hilo la Mungu nimelitaja kwa kuwa definition ya Baraka inalazimika kutajwa huo msamiati.
Baraka,
Ni wema/heri/rehema/neema aipatayo mtu kutoka kwa Mungu kwa kuombewa au kutakiwa na wenye uwezo/karama/ hadhi ya kufanya hivyo.
Definition hii haifai kwako kwa kuwa wewe huna imani na uwepo wa Mungu.
Umetaka maana kutoka kwangu napenda kukujulisha kwamba maana ninayoifahamu haina tofauti na ya kwenye kamusi kiongozi.Ndo maana nimekwambia ukaangalie huko.
Hilo la mtoto mlemavu ni exclusive case.
Lakini siyo ajabu sana kwa mtu mwenye mfano wako kuzungumza hilo la mtoto kutokuwa na ulazima wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.