Lawama kivipi sasa matokeo ya oral yametoka mimi nimekuwa wa 190 then wale wa 40 wa mwanzo wamechukuliwa sasa apo ukakasi unatoka wapi
Sasa hebu imagine napoteza muda kufatilia placement ambazo mimi nimekuwa wa 190 tena hata pass mark sijafikisha then ndio naongoza kwa kupiga kelele za...
Hili swala la matokeo ya oral ni muhimu sana hata kama sio kwa kuonesha exactly pass marks basi uwepo utaratibu wa kujua pass marks nilifikisha but ufinyu wa nafasi ndio umenifanya nikose placement.
Unakuta unajipa stress kufatilia placement kumbe hata pass mark ukufikisha lakini kama ukijua...
Na siku zinavyozidi kwenda ndio hali inazidi kuwa mbaya zaidi
Tujipe imani kesho yetu ni nzuri kuliko leo yetu
God atajibu juhudi zetu na mateso yatabaki kwenye kumbukumbu za historia.
Daah yani kwa siku unajikuta umetembelea website ya utumishi mara nyingi kuliko hata IT mwenye kitengo chake
Kweli kutokuwa na kazi nayo ni kazi[emoji3]
Kama kirefu cha initial A kina G moja basi akabadili taarifa za nida nazani ni 30k
Ila kama initial ina G mbili basi akabadili cheti cha kuzaliwa hii kwenye 10k hivi
Asiangalie gharama aangalie usahihi wa taarifa zake.
Kwa haraka haraka nazani shida ipo kwenye nida maana kama alikuwa...
Yes ni kweli ni initial tu lakini zina kirefu chake
Mfano unaitwa Masumbuko K Benjamin
Iyi K inaweza kuwa Kevi au Kelvin
Sasa tunakuja icho kirefu cha A uwa inatumika ya moja au g mbili
Izo A kwenye vyeti vyake vya shule zina "G" ngapi
Kama ni G moja the same na cheti cha kuzaliwa basi akabadili taarifa za nida
Hata haisumbui ni kwenda na vielelezo tu
Diaz goal lilikuwa halali kabisa hakuna offside pale na hata first yellow card ya jota hakumgusa kabisa alianguka mwenyewe
Howard web uwa miyeyusho sana vs liverpool toka enzi za Ferguson linapokuja swala la Liverpool anakuwa mpuuzi sana
Mafanikio ni hatua kiongozi
Umeambiwa kamaliza depo iliyopita ivyo hana muda mrefu kazini na hata ujui ana wategemezi wangapi nyuma yake ambao wote wanautazama mshahara wake.
Hii ndio tabu wanayokutana nayo hata graduate kuanza kuwalinganisha na watu walioanza kutafuta maisha kwa zaidi ya...
Wazo zuri maana unapokea 25% ya ushindi baada ya mkeka kushinda
Vipi kwa upande wa pili upo tayari ku compaset izo 25% ikiwa mkeka utachanika?
Hii itafanya game kuwa fair kwa pande zote[emoji41]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.