Mbona kazi zipo tu tena nyingi sana, tatizo vijana walio waengi wanajua kazi ni mpaka uajiriwe serikalini, unaweza wewe mwenyewe ukajitengenezea ajira na ukawaajiri wengine.
Kama una nia kweli nitafute kwa namba
0714452555
Unajua ni aibu sana, mfano unaanda chakula cha watu 400 wengi na unawaalika waje kula chakula halfu wanahudhuria watu 150 tu, je wewe mwaandaji utajisikia je katika jamii unayoishi nayo?
Mimi naomba nimwuulize huyo mtoa Uzi huu, hivi ni kabila gani linalotoa pesa hovyo hovyo bila mpangilio kwa hapa Tanzania? Au ni kabila gani linalopanga pesa barabarani ili kila anayepita anajichukulia bila kuulizwa?
Mimi sishangai kwa yote yanayofanyika katika siasa za hapa kwetu, maana toka mwanzo mkuu alishasema kuwa ole wake kiongozi yeyote atakaye tangaza kuwa mshindi ni WA upinzani,atakuwa amejifuta kazi. Hata kama ningekuwa Mimi nisingechafua kitumbua changu
Mtoa post hii,tumia akili ya kuzaliwa na sio utumie makamasi,
Hivi wewe kama mzazi mwema,unaweza kuua wanao halafu ukaanza kumlaumu jirani yako kuwa ndiye anayeua watoto wako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.