Search results

  1. miku

    Yule Baba mwenye nyumba wetu amepatwa na nini? Kimya chake kina maana gani?

    Makeke yalizidi akadahau kukusanya kodi za wapangaji
  2. miku

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Tanesco moshi angalieni emergency crew yenu inawatia aibu sana,haiwezekani jirani yangu ametoa ripoti ya hitilafu ya umeme toka jumatatu hadi Leo hakuna response yeyote,report number 3791 inasikitisha sana!
  3. miku

    Ukiishi mjini jaribu kuwa makini

    Wekeza sehemu sahihi
  4. miku

    Ushauri, safari ya Dar-Mwanza: Basi gani ni zuri kupanda kwa sasa?

    Muhimu ni mungu tu kulinda safari yako mengine yote ni mbwembwe tu.
  5. miku

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    naomba msaada tafadhali,luku yangu number 24218162899 ina shida kubwa,wakati imeweka ilikuwa inafanya kazi vizuri lakini ghafla units za umeme zilianza kwisha kwa kasi ya ajabu, nilitoa taarifa tanesco kilimanjaro kuhusu tatizo hilo ushauri walionipa nicheki wiring ya nyumba nzima zoezi hilo...
  6. miku

    Nimejikuta nimeipenda tu hii picha

    Mizigo km hii Uganda ni mingi sana wala haishangazi,karibu uganda
  7. miku

    Dr. Juma Mwaka arudi kivingine katika biashara

    Anadai hilo jina la Dr mmempa nyie ila yeye anaitwa JJ Mwaka,tunaanza kuona kurudi tena herbalist clinic na utapeli wake,hii ndio madhara ya matamko ya kisiasa hayana backup za kisheria
  8. miku

    Baada ya kumdhalilisha mumewe, Joyce Kiria asema hataki ushauri kutoka kwa mtu yoyote

    Huyu ndoa ya kwanza ilimshinda kati yake na DJ Fulani clouds miaka ya nyuma kabla ya kukimbilia kwa kilewo na mbwembwe nyingi
  9. miku

    Ginimbi: Kutoka umachinga mpaka ubilionea

    Mguu mmoja ni mfupi a .k.a chiba lkn ukiangalia sana picha zake anaficha sana ulemavu wake
  10. miku

    Kijana kuwa makini, wanawake toka katika familia hizi hawafai kwa ndoa

    Kuna vitabu zaidi ya 1000 vimeandikwa na wataalamu mbalimbali kuhusu ndoa lkn hakuna kitabu chochote kilichotoa majibu ya ndoa either kuvunja au kudumu kwake,ndoa kama yalivyo maisha ya binadamu hakuna formula sahihi,Leo maskini kesho tajiri ki kubwa ni mungu tu
  11. miku

    Kuoa mwanamke aliyekuzidi kipato/elimu ni changamoto kubwa sana

    Kuna nguvu nyuma yake inampa hicho kiburi c degree wala kipato tu amini hivyo wanawake wachepukaji maofisini n hatari
  12. miku

    Kuoa mwanamke aliyekuzidi kipato/elimu ni changamoto kubwa sana

    Wanawake wangapi wana PHD na bdo wanaheshimu ndoa zao !huo n ufala uliopitiliza tu,hakuna kitu kinachoweza leta dharau ndani ya nyumba km mwanamke anapokuwa mchepukaji kiburi umjaa hatari
  13. miku

    Hivi ndivyo Vijana wa kazi wanavyo weza kukuibia kwenye shamba la kuku

    Miradi ya risk namna hii huwez kuta mchaga anafanya,mambo ya kukariri kuku 300???
  14. miku

    Msaada juu ya tendo la ndoa

    Ama kweli ndio maana ndoa zinavunjika kila cku,unaweza kuwa kichwa cha familia kweli km hd ratiba za sex unauuliza JF?
  15. miku

    Mke wangu alienda kunichongea kazini nikafukuzwa ili anitese

    Umeamua tu kuishi hyo maisha,maisha ni mafupi sana kwann uishi kwa shida,kila kitu kina second chance,rudisha furaha na uanaume wako,bila ya huyo mwanamke huwez ishi?
  16. miku

    TAKUKURU kuchunguza mila za Kichaga

    Hta nyerere alijaribu kuwanyazisha wachaga lkn aliindoka akaacha kabila linastawi,nani alishindana na wana waisraeli akashinda?
  17. miku

    Mwanamke anayechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauaji wa kutumia silaha

    Ukweli mtupu,mke akichepuka upoteza furaha ya ndoa na migogoro uanze taratibu
  18. miku

    Natafuta vijana wenye mtaji tukafungue plant kanda ya ziwa

    Nko msalala na juzi nilikuwa nyarugusu,huku ndio kitovu cha hzo plant,uendeshaji wa hzi plant c kama kilimo cha kufikirika cha matikiti maji au ufungaji wa kware,kuna hitajika utaalamu,mtaji na material,n biashara iliyogubikwa na utapeli mkubwa sana nimeona vijana wengi wakidumbukia kichwa...
  19. miku

    Kwanini Acacia wasiiuzie Tanzania mitambo ya kuchimbia madini ili ichimbe yenyewe?

    Ni mgodi upi serikali imeweza kuchimba?unajua kinachoendelea tulawaka?
Back
Top Bottom