Search results

  1. Emilia

    Wapewa talaka kwa kuunga mkono CCM Zanzibar

    Kwani akikuacha ndio nini,huyo Mwanaume ni Mungu? Labda kama na wewe ni kula kulala,hujatengeneza mazingira ya kuwa na future yako mwenyewe,huna plan B.
  2. Emilia

    Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

    Mbona mimi kwangu kuna sauti za mkwaruzo? Ni kwangu tu au na wengine...
  3. Emilia

    Kuwa na gari ni dhambi? Kwa nini inapotokea ajali anayeonekana na hatia ni mwenye gari tu?

    Hawa ni wale watu ambao ukimfanyia wema unajionyesha,usipofanya una roho mbaya.Ni kuishi nao kwa akili.
  4. Emilia

    Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

    Primary kasoma Forodhani,na alikuwa anafanya vizuri darasani,sikujua kumbe amefikika level hizi Dah! Tony!!!
  5. Emilia

    Kipindi cha 'Wanawake Live' na madhara yake

    Hongera kwa kuzaliwa na mpu.mb.avu! Na umeoa/utaoa mpu.mb.avu!
  6. Emilia

    Nimepata dawa ya wizi wa viatu

    Kweli...
  7. Emilia

    Kibarua kizito kwa wanawake kupata wachumba Tanzania

    Hiyo idadi iliyotajwa kumbuka inajumuisha hata mtoto mchanga wa kike aliyezaliwa usiku huo wa Sensa je wao utawaweka katika kundi linalohitaji kuolewa? Kumbuka watoto wote wa kike chini ya miaka 18 Tanzania nao wamejumuishwa kwenye hiyo idadi. Nadhani kuhusisha swala la wanawake kuto olewa...
  8. Emilia

    Hongera Dida

    Dini yake inamruhusu.
  9. Emilia

    Wanawake wawili wazuri kuliko wote duniani

    Wazuri sana,yaani kuna mmoja macho yake yako perfect!
  10. Emilia

    Hii ndo top 10 ya wanahiphop bora Bongo....

    Ningependa Dataz na Rah P wako wapi siku hizi!
  11. Emilia

    Prezoo amtukana Diamond

    Nilimuona huyu Prezoo anahojiwa na Mboni,akasema kwamba alimpa pesa Alicia Keys,lakini Alicia Keys akakataa akamwambia akawape maskini, kwa hiyo yeye Prezoo hakupenda hicho kitu alimmind A.Keys!
  12. Emilia

    Mwanamke msagaji ameniambukiza virusi vya ukimwi.

    Nimepitia ila sijaona maelezo ya kitabibu jinsi maambukizo yanavyo tokea,nadhani hapo ndipo hasa kwenye elimu yenyewe.
  13. Emilia

    Mwanamke msagaji ameniambukiza virusi vya ukimwi.

    Huja eleza jinsi huo ukimwi unavyo ambukizwa bado,naona ni hadithi tu,ungeeleza hasa kisayansi ungeelimisha jamii zaidi.
  14. Emilia

    Sio kila mume ama mke anaamka saa kumi na moja asbh anaenda kazini,ongeza maombi

    Tamaa mbaya sana ni sawa na adhabu,huko tunakoelekea sijui itakuwaje maanake hii hali ndio inazidi.
  15. Emilia

    Wanajeshi wa kike duniani

    Safii!
  16. Emilia

    Albert Mangwea (Special Thread)

    Hivi dhambi hapa duniani ni kuvuta unga tu eeh!
  17. Emilia

    ILO yawataka waajiri wa ‘Housegirl’ kuwalipa Sh65,000

    Vizuri sana,na sio mishahara tu na manyanyaso ya mabosi wao pia ni tatizo kubwa kwao.
  18. Emilia

    Msikilize Lady Jaydee Ea radio akitoa msimamo juu ya kifo cha ngwair

    Halafu eti wamesha mtungia wimbo,nausikia sasa hivi clouds.
  19. Emilia

    Mnyika ana hoja: Uwingi wa CCM bungeni wamwangusha juu ya bil 29 za rais

    Kuna mmama pale mbele anasema ndio kwa nguvu sijui ni Celina Kombani au ni Sophia Simba! Inasikitisha.
Back
Top Bottom