Jamani wana Jamii Forum, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25 na nina uzoefu mkubwa wa fani hii kwa miaka 8 ambao nimeupata kaika makampuni makubwa ya matairi ikiwemo Good Year, michelin na Bridgestone hivyo nimejitokeza kwenu kutafuta nafasi hii kwa vigezo vinavyotakiwa wala sio ubabaishaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.