Kwa kutumia taarifa za hapo juu tofauti inakadiriwa kuwa kama ifuatavyo:-
JIMBO
Magufuli (CCM):
Lowassa (CHADEMA):
imbo la Makunduchi:
8,406
1,769
Jimbo la Paje:
6,035
1,899
Jimbo la...
Heslb hawapo makini, hawawajui wadaiwa wao, badala yake, wamechukua majina ya wanafunzi karibu yote ya wale waliosoma katika vyuo mbalimbali kwa miaka husika na kuwaweka katika matangazo; huenda labda ndiyo wanawatafuta wadeni wao, mimi nimemaliza deni langu tangu September 2010. lakini cha...
Pole kwa yaliyokutokea, lakini usijali, Kisheria si kosa, isipokuwa unatakiwa kuwaandikia TRA (Regional office yako ukiwajulisha kwamba katika 'cheque' namba fulani kulifanyika makosa ya kutotofautisha kati ya VAT na Provissional Tax, bila kuwapa taarifa 'Tax Account' yako na TRA itaonyesha kodi...
Pole sana Dada; Uchawi kweli upo lakini ukiuweka sana katika akili yako kwamba umerogwa unaathirika kisaikolojia. Jaribu kufanya vipimo vya kimaabara kwanza kabla ya kutafuta mwalimu kama unavyodai;Kama daktari (Doctor of Medicine) atakuambia yeye haoni ugonjwa hapo yawezekana kuwa kuna urogi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.