Search results

  1. K

    Uko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5?naomba ushauri.

    Huyo mwanaume ni mbinafsi kosa akifanya yeye sawa akifanya mkewe ndo analiona kosa! Yeye ameenda amepiga nje bila hata condom, hadi mtoto amezaliwa anachukulia poa tu, still anaendelea na huyo mwanamke eti anahalalisha ukewenza nani atakubali upuuzi huo? Unadhani kulala ndani ya nyumba ndo nini...
  2. K

    Kilimo cha milonge

    Mbegu zake pia ni dawa zinaondoa sumu mwilini Unatafuna hizo mbegu asubuhi,mchana na jioni unakunywa na maji mengi Maji mengi zinakata mafuta kwa wale wanaopenda kupungua
  3. K

    Wapendwa mnisaidie how to move on,nataka kumdelete mme wangu parmanently

    Pole sana dada, Usiondoke kwa huyo mwanaume, Kama mmefunga ndoa, ww mpotezee tu ili msaidiane kulea Watoto, kama unafanya kazi kuwa bize na kazi, kuhusu sex mkapime then mtumie condom maana atakuletea gonjwa huyo, wanaume huwa hawafikirii watoto kazi ni kufungua zipu tu, mpotezee huyo
Back
Top Bottom