Search results

  1. M

    Jua janja ya Kamali ya Cloudsfm(tatu mzuka jackpot)

    mbona kama umepiga hesabu vibaya. ili ushinde mzuka Jackpot unatakiwa ucheze mara 1000.
  2. M

    inasikitisha soma hii!!

    Hapo mshua anakuwa ameshazirai zamani, bi mkubwa ndo kabisaaaaa amesharest in peace. Hata hayo maneno ya kuhitimisha hawajayasoma.
  3. M

    Matani

    mentor kwenu mko wengi hadi father ako akamua kuweka round-about sebuleni.
  4. M

    Matani

    mentor we ni mbaya hadi hollywood walikukatalia kuigiza movie za kutisha.
  5. M

    chemsha bogo

    let X be the present number. Then, ongeza wengine kama sisi na nusu yetu na robo yetu na wewe mwenyewe = x + x + x/2 + x/4 + 1 Thats, x + x + x/2 + x/4 + 1=100 we get, 11x = 396 x=36 walikuwa ndege 36.
  6. M

    kali kuliko

    Mshua alikuwa anakwepa ushahidi, sio kwamba alizimia. maana alikuwa na uwezo wa kuwaambia gari ipae katokee home kwake.
  7. M

    Kwa enzi za utoto Hapa hukwepi!!

    Kama mtoto wa kitanzania, hili ukwepi: 1. Kulilia soda ya mgeni 2. Kujisugulia chup* wakati ukioga, kisa dodoki hamna. 3. kusubiria sabuni wanayooshea vyombo, ili ukaogee. ukiweza kukwepa, basi chakachua
  8. M

    mnada wa hadhara!

    Kwani zile laptop tatu, hazipigwi mnada? maana zimesheheni barua za madili usiombe.
  9. M

    mahakimu wanachukiwa

    nashukuru. nimesoma jokes zaidi ya kumi. hii nimetoa kicheko balaa.
  10. M

    Danganya mwenzako

    Nimefukuzwa home, kisa nilisaikopesha serikali ya marekani asilimia 50 ya bajeti yake mwaka jana. baba amewasamehe ila amenipa lesson kwa kunipangia floor nzima MOVENPICK nitulize mawazo.
  11. M

    Ati wewe ungepanga vipi?

    Wahehe- kwann wasipewe wizara ya ulinzi shirikishi? maana nadhani wataacha kutumia kile kitoweo aka "night support".
  12. M

    Maneno ya kikubwa

    ilaze ktk boksi lake.
  13. M

    Nipeni uzoefu wenu wanawake wote wa kidigo ndivyo walivyo au wangu ni wa pekee?

    siku ambayo utamuuliza jina la mzazi wake ni pale utakaposahau kwenda kazini, alafu barua ya kuachishwa kazi ikakufuata huko huko.
  14. M

    Nipeni uzoefu wenu wanawake wote wa kidigo ndivyo walivyo au wangu ni wa pekee?

    mijitu kama wewe ndo rahisi kupewa SUMU, yaani hadi chakula unalishwa. aseje akawa anakufananisha na toto jinga, likila lamwaga chakula ndo maana anakulisha. take care.
  15. M

    Tafakari

    mara akasema anti, kaka yake akafa.
  16. M

    Ndivyo itakavyokua..!

    anayepanga ratiba ya mgao, KUSHOTO
  17. M

    Ndivyo itakavyokua..!

    waliogundua switch ya kukatia umeme tanesco, KUSHOTO
  18. M

    Kazi ya ualimu ni ngumu sana. Hii ilitokea live darasani!!!!!!!!????

    pamoja mkuu, alafu na kamshahara kalikotengwa kwa maticha nadhani kalichangia kwani ndo yuko hatua ya mwisho aanze kukapokea. tichaz oyeeeeeee
Back
Top Bottom