Search results

  1. O

    Kwa Nini CCM Inango'ka?

    Umemaliza kazi.Kweli kabisà wananchi wanahitaji Mabadiliko sio ahadi mpya.
  2. O

    Kwa historia 2015 ni wa Lowassa na upinzani

    Uchambuzi wako unaukweli ila kwa wanasiasa wasiokubali mahitaji ya wananchi wa sasa hawataelewa.
  3. O

    Msekwa: CCM imejiandaa kushindwa

    Tutafakari maelezo ya Mzee Msekwa kwa hekima kaona mbali.
  4. O

    Nimelazimika kuileta hii video hapa, Nisamehe CHADEMA

    tafsiri kwa lugha ya taifa ili ujumbe ufike kwa wote
  5. O

    Kutoka Ukumbi wa Chuo Kikuu Huria Musoma: Prof. Muhongo atangaza nia ya Kugombea Urais

    Ni kweli utendaji mpya unahitajika kutoka UKAWA maana ccm hawana jipya.
  6. O

    CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    Kila jambo lina mwisho na Mungu ndio mpangaji wa kila kitu.
  7. O

    Wabunge wa CCM msikubali kufanywa watoto wadogo!!

    Hakuna haki ya kulazimisha kupiga kwa uwazi kwa watu wenye akili timamu,vinginevyo tunamatatizo ya akili jambo ambalo siamini wenye kulazimisha huo mtindo wanalo.Kumbuka hiyo katiba inaletwa kwa wananchi tutapiga kura ya SIRI kuikubali au kukikataa.Sasa wabunge walazimishe kupiga kwa uwazi huku...
  8. O

    Katiba ya CCM inaipa NEC Mkoa uwezo wa kumfukuza mwanachama na kiongozi

    Ndugu Nape katiba inayotumika ni ya marekebisho 2010 au 2012?Na je Halamshauri kuu ya mkoa wa Kagera wamekosea wapi?toa ufafanuzi wa kikatiba.Lakini ulipashwa kusubiri taarifa rasmi kutoka kwa Katibu wa ccm wa mkoa wa Kagera na barua za rufaa za waheshimu waliofukuzwa na utoe taarifa ya chama...
  9. O

    Kigaila, Mpwapwa wana kuitaji wana taka msaada wako

    Nawashauri ndugu zangu wa Mpwapwa na Kibakwe mfanye mabadiliko ya kweli,sasa ni wakati wa kubadilika muachane na maamuzi ya mazoea.Bila kuamua mtaendelea kulalamika bila kupata maendeleo ya kweli.Kigaila pekee yake hataweza bila kushikamana kwa nguvu ya umma.
  10. O

    Jujikumbushe kauli zinazokanganya za viongozi wa chadema

    Nakuunga mkono ndivyo alivyosema,na wananchi wanaelewa hivyo sasa nawashanga wanasiasa wa ccm kupotosha ukweli wa mambo.Hivi wanafikiri wataendelea kuaminiwa kwa kusema uongo mpaka lini?
  11. O

    Sita Acha Kumdhalilisha Rais

    Unajua mie nawashangaa wa ccm wanaosema serikali tatu ni mzigo,mbona hawakusema rais kuwa na mawaziri 60 ni mzigo kwa taifa.Mie naona wanaogopa ajira zao za kishikaji kukwama.Maana katiba ya Tanganyika lazima iwe pia na wizara chache ili kuondoka na kila rais anapoingia kuunda wizara kwa...
  12. O

    Filikunjombe na Lugora kunyimwa kuchangia bajeti ya Wizara ni demokrasia?

    Hawa ndio Wabunge ambao wanajua kazi yao bungeni,wengine wanafanyakazi ya kuipongeza serikali na ndiyooooo.Kama kweli wamezuiliwa kuchangia wanawanyima wananchi wanaowawakilisha,huo ni kufinya demokrasia.
  13. O

    Wabunge wa CCM jifunzeni namna ya kuchangia hoja bungeni

    Hapa umetoa somo ,naamini watazingatia somo hili,wale wenye nia njema na wananchi wanaowawakilisha.Kazi ya mbunge sio kufanyakazi ya serikali ya kuitetea serikali,maana kuna wakati nashindwa kutofautisha mbunge wa ccm na waziri mhusika katika wizara iliyotoa bajeti yake ijadiliwe.
  14. O

    Bungeni: CCM kupitia Anne Makinda yaliumbua gazeti lake Jambo Leo. Yasema linaandika uongo!

    Hakuna sababu ya kutochokuliwa hatua gazeti hili kwa vile huu ni uchochezi kati ya bunge na wananchi.Kama kweli sheria ni msumeno naamini JAMBO LEO LITAADHIBIWA.
  15. O

    Heri ya mwaka mpya 2013! Niliowaudhi 2012, naomba radhi

    Ccm mwaka 2013 acheni polojo,fanyeni kazi,pale mnaposhindwa kutekeleza ilani yenu msishangae wapinzani wakisema mmeshindwa,wananchi wa leo sio wale wa 1990.mjiulize kwa nini wananchi wengi wanakosa imani kwenu,hakuna msitafute mchawi ni nyinyi wenyewe kwa matendo ya viongozi walioaminiwa na...
  16. O

    UVCCM mwendo wa kuchapana kama CUF enzi hizo... Sasa ni Mara

    Hali hii inatishia wananchi kuendelea kukosa imani na ccm,msajili wa vyama vya siasa hapa hayupo ndio maana hasemi kitu,subiri chama chochote cha upinzani wafanye fojo utasikia mamneno yake.Wakati wa ccm kutawala jamani umekwisha wananchi tulione hilo.
  17. O

    Jussa: Hakuna "kupatana" na Watanganyika

    Hivi Watanganyika mnajua wajumbe wa baraza la mapinduzi ni akina nani na kazi zao ni zipi?maana mie nasikia mwenyekiti wa baraza la mapinduzi ZANZIBAR ambaye pia ndiyo rais wa zanzibar.Je wajumbe wa baraza hili wanachaguliwaje?Kama hamjui hakuna sababu ya kupatana na wazanzibar maana hawatutaki...
  18. O

    TUONGEE ASUBUHI: TV Live interaction on Star TV Yazinduliwa Rasmi

    Mkuu wa wilaya anapoishi nyumba haina choo, je anawezaje kuhamasisha wananchi wawe na vyoo? Mh huyo ameshindwa kuchimba choo kwa kutegemea awekewe na serikali ambayo sasa inaonekana imezidiwa majukumu yake, anapashwa kuwa mbunifu siyo kulalamika kwa mambo kama haya anaidharirisha serikali yetu...
  19. O

    Kwa mambo haya - JK ni Mdini!

    NDUGU YANGU KILA DINI NIRAHISI KUPATA TAKWIMU KUPITIA KWENYE NYUMBA ZA KUABUDIA,NA KUPITIA HUKO KILA DINI ITAPATA TAKWIMU SAHIHI ZA WAUMINI WAKE WANAHUDHURIA IBADA.Naamini RC wametoa idadi hiyo kwa kuzingatia mahudhurio yao kanisani.Tusipendi kutumia fedha ya serikali kwa mambo yetu ya dini...
Back
Top Bottom