Search results

  1. AMAFUMU

    Laptop inahitajika

    Wewe unaduka ama ni dalali?
  2. AMAFUMU

    Laptop inahitajika

    Nahitaji brand new laptop. napendelea sana HP Nyeupe. specifications 1. Internal memory ya 500GB hard disk 2. Ram ya 16GB ama 32GB 3. Core i 7 4. Graphic card 5. Touch screen Na mengine ambayo siyajui maake sio mtaalamu sana najua basic zake. Kikubwa ninamatumizi makubwa so I need a...
  3. AMAFUMU

    Msaada: Nahitaji kujua gharama za kuishi South Africa especially Johannesburg

    Inafuatana unataka kufanya nini! pia kuna tofauti sana kati ya kujitenga na mazingira uliyozoea katika utafutaji. unapokuwa ugenini muda mwingi unaweza utumia effectively na outlet za pesa zikawa kidogo sana. So strategy zako zinazokutoa hapa ndio zitakazo kupeleka mbali. Inshort Tanzania...
  4. AMAFUMU

    Msaada: Nahitaji kujua gharama za kuishi South Africa especially Johannesburg

    Mfalmewakiha. usione watu wanaingia jf ukadhani wote matapeli ama wanasiasa uchwara. Mimi nipo JF since 2011 na jitahidi kabla hujacomment ujinga soma hata background ya huyo unayetaka kumuongelea ili upate ABC zake Nimekuangalia ndio kwanza umejiunga 2017 halafu unapost 506 mimi nimejiunga...
  5. AMAFUMU

    Msaada: Nahitaji kujua gharama za kuishi South Africa especially Johannesburg

    Vulumai za kisauzi ni hatari sana....risasi nje nje
  6. AMAFUMU

    Msaada: Nahitaji kujua gharama za kuishi South Africa especially Johannesburg

    Tunatatizo kwenye akili zetu hasa watanzania....japo afrika kwa ujumla. Wenzetu dream za kwenda kuishi mahali ni za kawaida sana. Ni kitu cha kawaida sana kusema nataka shughuli zangu nizipeleke huku. Lakini eti unamwambia utoto....so kuhama nchi ni utoto? wewe unapenda kuona wakenya...
  7. AMAFUMU

    Mkomeshe Mwanaume anayehitaji Namba yako ya simu

    Sasa nani anashida kwa sasa kati ya mwanamke na mwanaume. note. Unaijua ratio vizuri ya wanaume na wanawake?
  8. AMAFUMU

    Viwanja vilivyopimwa

    So kama huna kiwanja hadi sasa utaishi kwenye nyumba za kupanga hadi ufe? Kutoka posta hadi Bunju ni 40km but sijui kama unalijua hilo? Pili kuna wafanya kazi wa kigamboni municipal, kiwanda cha cement kimbiji, wafanya kazi wa viwandani kigamboni. Tatu wafanya kazi wengi post wameopt kuishi...
  9. AMAFUMU

    Ukarabati wa nyufa za majengo ya UDSM waanza

    Ni Architect (Mbunifu majengo)Elius Mwakalinga and not Mhandisi. Mnatakiwa kuwa na exposure ya professionals duniani
  10. AMAFUMU

    Viwanja vilivyopimwa

    45km mkuu
  11. AMAFUMU

    Viwanja vilivyopimwa

    Nauza viwanja PUNA kigamboni ni vilivvyopimwa. Hati unaweza pewa msaada wakuchukuliwa kwa makubaliano maalum ndani ya miezi 2 unakuwa umepata hati. Viwanja vinaukubwa wa 600sqm hadi 1000sqm. Vipo 1KM kutoka bahari ilipo. Barabara kubwa nzuri pia za mtaa zimechongwa. umeme tayari upo. Bei ni...
  12. AMAFUMU

    Kutenganisha UDSM, Ardhi na Muhimbili ni kupeana ulaji. Matumizi mabaya ya kodi za watanzania

    Si kweli mkuu! Nchi yoyote inavyuo mama. Je kwa nafasi ya UDSM unaona ni sahihi kutokuwa na kozi za tiba? to mi nilikuwa nategemea udsm ipeqe heshima kwa kuwa na fani zenye umuhimu kwa ustawi wa jamii.
  13. AMAFUMU

    Laptop Hp Nyeupe

    Nimeibiwa laptop Hp nyeupe jana 14.11.2017 maeneo ya kigamboni. Please kwa yeyote yule aliyeiba ama la. Naomba kuuziwa tena hiyo laptop kwani mali iliyobeba ni zaidi ya maisha yangu. Nitakachoweza ni kuinunua tena kwa namna yoyote ile. Call 0714227532 ama whatsAp 0627911500.
  14. AMAFUMU

    Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Very common mkuu wala sio mapinduzi kama tunavyoaminishwa
  15. AMAFUMU

    Kwanini kampuni za mabasi hazifanyi hivi Bongo, haya ni mapinduzi

    Magari mengi masafa marefu huwa na trailer.....sasa sijui uchuro gani hapo? Ukitoka Joburg unaenda Lusaka ama Lilongwe yote yako hivyo na hakuna ajali za mara kwa mara
  16. AMAFUMU

    Wakati Kenya ikifanya uchaguzi kila baada ya miezi mitatu Tanzania inateka soko EAC Burundi na Congo

    Kosa ulilolifanya....ni mada ya uchumi kuipa kichwa cha habari cha kisiasa. All in all sijui ulitaka kulenga nini!
  17. AMAFUMU

    Nauza viwanja viwili-Puna Kigamboni

    Huwezi pata accre mkuu ni viwanja vilivyopimwa
Back
Top Bottom