Ungekuwa unauza hicho kiwanja angalau ila kukopeshana hapana
Ila ukitatua changamoto zako nitafute uingie sehemu ambayo ikiwa na dharura unapata ela
Ukihitaji mtaji unapata hela
Kuna majamaa walishaliona hilo wakaona waanze kulifanyia kazi kwa kuanza na KATIBA MPYA
lakini hao wabinafsi wakaamua kusema kiongozi wa wanaotaka KATIBA MPYA ni gaidi wamemkamata
Wamesahau athari ya kusema nchi ina GAIDI ni kubwa
Kwa vile hata wageni hawatakuja kwa vile TZ kuna magaidi
Bora...
JPM angekuwepo tusingekuwa na habari za Corona maana huku tulishatoka
Tunarudishana nyuma tu
Ona sasa asilimia kubwa hakuna mtu anayefata agizo la kuvaa baracoa, kunawa mikono, level seat
Yote kwa yote amua unachotaka wewe binafsi kuhusu Corona kwa vile ni Hiyari hususan chanjo
Nami nimeliona Vanilla kg 1 ni Tsh.1,000,000/= wanahitaji uwekeze
Nikaona na kusikia tena wanakupa shamba bure sijui ndio haohao
Hii serikali yetu aieleweki mtu anaweza kuplan biashara yake akaifanyia kazi vema mwisho wanachukua ela kiulaini
Mfano mr.kuku
Je Mr. Kuku hadi alifikia hatua ya...
Kubadilika muhimu, kwa sasa wachaga na wamasai wanawamikikisha watoto wao wa kike
Kama makabila haya wameweza kumpa mtoto hurisi hasa wachaga na wa masai basi wengine wataweza ni elimu inahitajika ili wabadilike
Hongera kwa uwamuzi naotaka kuchukua, kwenye maisha inabidi uthubutu hakuna kuogopa.
Pia kama unaweza kupata hizo m4 ukatafuta na watenda kazi wakaanza kufanya hicho unachotaka kufanya halafu mke akawa anawasimamia na kwenda mara kwa mara mpaka hapo mambo yatakavyoenda vizuri
Ndio uamue kuacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.