Search results

  1. Robati

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Aliposema magofuli amekufa tangu machi 11, alikosea? Punguza kupigwa paipu mchana kweupe huko Lumumba
  2. Robati

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Haya mambo ni mazito sana kwako, wewe ulitaka TISS wajitokeze kwenye vyombo vya habari kuthibitisha ndipo uone ni kweli? Poor you.
  3. Robati

    Lissu afunguliwe mashtaka kwa kutoa taarifa za uongo

    Kwa kweli ni ukweli mchungu, kiongozi mkuu ni "ceremonial figure" tu.
  4. Robati

    Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

    Unaogopa kufanya jambo la kujitetea ili maslahi yaongezeke kisa unalinda kibarua, hiyo ni akili au matope? Wewe utaendelea kupigia makofi akina KIBAJAJI huku ukiishi kwenye lindi la ufukara MILELE.
  5. Robati

    Nina mashaka kuna kikundi ndio kinaendesha nchi kwa sasa

    Baada ya 2025 akiamua kupumzika ataonesha busara ya hali ya juu, hana uwezo wa kuongoza ofisi ya juu kabisa.
  6. Robati

    Kama umeajiriwa sehemu yoyote shika sana kazi yako hakikisha huipotezi, ukiipoteza utajuta

    Mawazo ya kimasikini haya, ndio maana serikali yenu inawachezea sana. Mnakalishwa miaka kadhaa bila ongezeko la mishahara sababu ya uwepo wa wajinga kama ninyi.
  7. Robati

    Ogopa sana ku-date na mwanamke ambaye hana akili

    Baba yako ni askari polisi?
  8. Robati

    Jamhuri msipoandaa Mawakili mkaendelea kubebwa na Majaji na Mahakimu tutaendelea kukodi Mawakili wa kigeni milele

    BIBI yeye ameunga unga tu, hadi akajikuta huko juu kabisa.
  9. Robati

    Biashara ya Madini ya Dhahabu: Fahamu Uwekezaji Wake, Changamoto na Faida

    Mrejesho wa upatikanaji wa dhahabu ya Malinyi Misegese tafadhali, mambo yakoje?
  10. Robati

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Ndugu wa shujaa Hamza warejeshewe dhahabu zilizo porwa na mapolisi, tuanzie hapo.
  11. Robati

    TANZIA Rambirambi za mwanachama mwenzetu Warumi

    Picha yake iko wapi?
  12. Robati

    DCI Wambura: Uchunguzi umebaini Hamza alikuwa gaidi wa kujitoa mhanga

    Mapolisi warudishe pesa na dhahabu walizompora shujaa Hamza, hizi hoja za kitoto wakadanganyane wenyewe kwa wenyewe huko.
  13. Robati

    Ufugaji samaki kwa Vizimba (Cage Fish Farming)

    Serikali ya kipuuzi sana hii, gharama zote hizo kwenye vibali za nini? Vijana watajikomboaje kwa mfumo huu?
  14. Robati

    Suala la Hamza Mohammed, Wapinzani mnajiaibisha sana mbele ya umma

    Unakosea sana kumsema shujaa halisi, acheni kubambika watu kesi.
  15. Robati

    Kumekucha: Mawakili wa Mbowe waweka pingamizi kesi ya Ugaidi

    Hamza ameacha fundisho kwa mapolisi vibaraka wa CCM.
  16. Robati

    Polisi: Mwili wa Hamza tumeshaufanyia kazi

    Baharini kuna mamba? Ninyi mapolisi mbona wajinga kiasi hiki?
  17. Robati

    Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

    Mapolisi ya Tanzania ni malevi ya gongo na bange, akili ndogo na wababe kwa raia wasiojielewa tu. Shujaa Hamza amewapa fundisho.
  18. Robati

    Hamza Mohamed Hassan azikwa makaburi ya Kisutu, Dar. Mazishi yachelewa kutoa risasi zilizokwama mwilini

    Elimu ya mapolisi inajulikana, acha ukuda. Halafu kuifira maiti ni uthibitisho wa akili ndogo na matumizi ya bange kwa mapolisi, sirro amewaharibu sana huko.
Back
Top Bottom