Nilikuwa nasikiliza Jahazi sasa hivi,yeye na Musa wanajadili issue ya redbregade.Musa ana arguments nzuri sana kuwa ni bora serikali ikakaa na chadema wakajadili kuhusiana na hili kwani vitisho havikuwahi kusaidia.Kibonde yeye anapongeza matamko hayo
Huna lolote mnyantuzu mwizi ww,eti wanyantuzu wamesoma kuliko wasukuma wengine wakati wanyantuzu wengi wako machimboni wakifukiwa na vifusi.nyie ukilinganisha na wasukuma wengine ambao kimsingi ni waastaarabu nyinyi ni watu wa dhuluma tu.
Ongezeko la nauli lililotangazwa hivi karibuni na SUMATRA inaonyesha ni jinsi gani hawa watu walivyonunuliwa na wafanyabiashara.Kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa mimi binafsi sikutegemea kama hawa watu watakuja na move hiyo.
vipato vya raia wengi viko duni sana,tumeshuhudia waalimu wakidai...
Lile daraja lililomshinda Keenja kwa miaka yote ya ubunge wake na aliopoingia tu mpambanaji Mnyika na peoples power kwa ujumla,akafanikisha kuwabana watendaji wabovu wa manispaa ya kinondoni kwa kufanikisha ujenzi wa DARAJA hilo,leo linafunguliwa rasmi na Mkuu wa nchi.Hongera sana Mnyika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.