Kama hujui wanawake wanaongoza kwakuoneana wivu basi nenda kichwakichwa! Hata mama yako mzazi anaweza kuongea uongo kuhusu mwali wake kama hampendi! Jiongeze!
Kwanini hawajataja matumiz holela ya Energy drinks! Energy inaweza hata kupelekea moyo kusimama ghafla bila dalili yoyote! Na ndiyo zinanyweka saba these days!
Kabisa yaan! Huwa sipendi ku comment sana huku ila hapo nimeshindwa kujizuia maana nimesoma akili yako nikama vile unatamani upewe support yakumrudia! Be a man!
Yaan kote umekosa hadi urudie ya kale? Mwaka mzima unajua ameshapita na wangapi? Kwanini vijana wa sikuhizi hamuwezi kujisimamia? Ishinde tamaa! Kumbuka mzahamzaha hutumbua usaha we endekeza hizo chatting!
Nionanvyo huyo dada reasoning capacity yake ni ndogo sana. Hawezi kuunganisha matukio like wewe kuumwa nayeye kukosa ile support yako yakila siku. Yeye anafikiri mambo yanatakiwa yaende automatically tu kuwe jua au mvua. Of which maisha hayako straight line like that. Hata akiolewa aisee huyo...
Sasa kama umekuwa watofauti na wengine basi mshukuru Mungu na uache kulaumu! Ukishukuru mambo yako yanafunguka zaidi. Ukikaa kulaumu na kunung'unika unajiandalia anguko lako. Kama maisha yako yanamuelekeo na bado unalaumu je ungekuwa kama hao ndugu zako wengine ungefanyaje? Familia ikishakuwa...
Pole. Hayo maradhi tafuta spiritual healing ukae sawa. Nitext ukihitaji mtumishi wakuongea naye hata kwa simu akushauri na maombi. Nicholas bure hakuna malipo.
Pole Sana ndugu kwa huo mtihani mzito. Ni kweli ni maumivu yasiyoelezeka ila at the end of the day life must go on! Unahitaji upate maombi maalumu yakukutenga na majonzi, vilio, msiba na maombolezo ili uweze kupokea changamko la moyo na MUNGU afanye jambo jipya. Vinginevyo unaweza kupata...
Mi nashauri usiruhusu hayo mawazo hasa kama unamwamini MUNGU. Bible inasema aonavyo mtu nafsini ndivyo alivyo! Na pengine kwenye Kutoka 23:26 inasema hatakuwepo mwenye kuharibu mimba wala aliye tasa. Hizo miscarriage na kutozaa ni mipango ya mwovu tu siyo MUNGU huyo. Ukitaka msaada zaidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.