Search results

  1. I

    New Habari na kutowapa promotion wafanyakazi wao

    Kama New Habari hawajalipwa, ya nini kulalamika? Take action! Kulalama si suluhisho la matatizo. Unalalamika af kila siku saa moja unusu asubuhi umeingia ofisini??? Ndiyo maana mishahara hailipwi coz mnaonekana bado mna uwezo wa ku-survive bila kulipwa. AMUA moja kubaki kimya au kuondoka na...
  2. I

    Mwandishi Mayage S Mayage na kazi ya umamluki

    Waandishi hawatakuwa huru Tanzania hadi siku watakapoamua kuwa huru. Hoyce kasema jambo la msingi sana, kila Media House ina policy zake. Ukienda IPP, Mwananchi, Uhuru etc kuna miiko yake. So ukikubaliana na sera unasaini mkataba kama vp acha saka kazi nyingine. Full stop!
Back
Top Bottom