Binafsi nakubaliana kabisa na wazo lako mkuu, kimsingi mada si uliyoyapata kulingana na unachokijua ambacho umejifunza kupitia vitabu, Jambo la msingi na la kuzingatia ni kuwa SHULE(degree,Phd nk) pekee havitoshi kumfanya mtu awe na hiyo power anayoihitaji (competent) kwenye Jambo Fulani bali...
Inabidi ifike kipindi tubadirike, tusing'ang'anie aina moja ya mawazo kwani hakuna mkamilifu katika uumbwaji, kama umefanya kosa yakupasa kukubali na kujirekebisha ili mambo yasonge. haina haja ya kuishi maish
Inabidi ifike kipindi tubadirike, tusing'ang'anie aina moja ya mawazo kwani hakuna...
Ngoja nami nikupe fact, September 7, 2017 wakati Lissu anashambuliwa kwa risasi nyumbani kwake Área D mjini dodoma raisi alikuwa.......!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tusiwe na maneno mengi katika hili, tukae, tupange na tuamue kama wanaume. Nadhani kwa tulipo sasa tunahitaji kufanyia kazi maamuzi ya kundi la wanaume wenye msimamo.
Ishu si uoga mkuu, ishu ni kukosekana kwa Utengano wa kimamlaka/nguvu (separation of power) kitu ambacho kinafanya kundi kubwa la watu kutojua nani ni nani na huyu mipaka yake ni ipi katika utendaji, tumekuwa mashuhuda wa kuimarika kwa muhimili mmoja dhidi ya mingine jambo linalofanya tulio...
Kama ishu ingekuwa ni kulipa deni pekee bila riba uwenda kungekuwa na nafuu kidogo, Ila hii asilimia 6 wanayoiita Tozo la Kulinda Thamani ya Pesa ndio mzigo kwa wadaiwa.
Tukutane twente twente.
Naomba kuwasilisha.
Hahahaha, uko sahihi kabisa ila kwa uelewa wangu mdogo nahisi mwenye jina kapatikana na hana masihara hata kidogo, pengine ndio jambo linalotuhofisha kuendelea kulitumia.
Naomba kuwasilisha.
Fanyia kazi ushauri huu kwasababu ukizidi/akizidi kuchelewa kuchukua hatua za kitabibu uwenda tatizo likakomaa na kuleta Athari kubwa zaidi.
Hata kama kuna daktari humu nina uhakika hatoweza kukupa jibu la moja kwa moja bila ama maelezo ya kutosha au vipimo.
Nenda/Nendeni hospitali ndugu.
Naamini katika uongozi bila misingi ya Dini, kwani hata katiba inasema serikali haina dini, Kwanini maslai binafsi ya kiimani yanachanganywa na siasa,? ifike wakati tubadilike, tuheshimiane, na tupendane kutokana na mipaka ya dini zetu kwani kwa kufanya hivyo tutaishi kwa Amani...!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.