Search results

  1. R

    CHADEMA yapata pigo Kusini; mwenyekiti wake ajiuzuru

    hili ni pigo kubwa kwa chadema hasa katika kipindi hiki ambacho chama hicho kinahaha kujitangaza katika mikoa ya kusini,
  2. R

    Meya awakalia kooni madiwani CHADEMA

    Meya wa Manispaa ya Ilemela mkoani Mkoani Mwanza Henry Matata amesema kuwa uamuzi wa kuwafukuza madiwani watatu wa CHADEMA katika manipaa hiyo, upo pale pale. Madiwani hao wamekumbwa na sokomoko hilo, kutokana na kushindwa kuhudhuria vikao vitatu mfululizo bila idhini ya mwenyekiti ambaye ni...
  3. R

    Waliosimamishwa UONGOZI na MBOWE, wahamia CCM

    Hatari ninayoiona ni kuwa hakuna hiyo cream ndani ya chadema, ndo kusema kitabaki bila mtu.!!!
  4. R

    Waliosimamishwa UONGOZI na MBOWE, wahamia CCM

    Kama taarifa hii ni ya kweli basi mpaka kufikia 2015 Chadema wanaweza wasiwe na kiti cha Ubunge hata kimoja. Haiwezekani kila kukicha tupate taarifa za watu kukihama chama hiko na kisha tuendelee kujipa imani kuwa kipo salama na kitavuka bahari pamoja na mawimbi haya mazito ambayo chombo chao...
  5. R

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    huu ni ukweli uliotukuka...!
  6. R

    Ninavyomfahamu Ludovick Joseph Rwezaura (kilio cha usaliti)

    HILI nalo neno.,jamaa wameweka wachumia tumbo hapa JF hawachoki wala hawapumziki.,ukiweka post tuu kuhusu Slaa utakiona cha mtemakuni. Hii ni balaa..,sasa swali langu ni kwamba katika hiyo list ya watumishi wa chadema mitandaoni mods wapo pia..?
  7. R

    Lwakatare, Ludovick wafikishwa mahakamani Kisutu

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) Wilfred Lwakatare, akituhumiwa kupanga mipango ya kigaidi, kumeyapa nguvu madai ya muda mrefu ya Chama Cha Mapunduzi (CCM) kwamba chama hicho kimekuwa kikitekeleza mipango ya kigaidi kwa...
  8. R

    RAIA MWEMA, Ni wakereketwa wa Udini na Ukabila?

    Niliwahi kuandika sehemu juu ya waandishi na Uandishi.,wahariri na Uhariri.., nikagundua kuwa katika maeneo mengi duniani kuna kurandana/kufanana kukubwa baina ya viwili hivyo isipokuwa hapa kwetu Tanzania viwili hivyo viko mbalimbali kabisa.,hakuna mfanano wa namna yeyote baina ya waandishi na...
  9. R

    Lissu: Kwa hali jinsi ilivyo, Dar ndio itakayochelewesha ukombozi wa nchi hii

    "hapo kwenye red" kama ni hivyo basi mfumo na muundo huo wa chama haufai ni lazima kuubadilisha.,kivipi chama ambacho ni kiongozi wa vyama vingine vya siasa vya upinzani kisiwe na muundo ambao unaruhusu na umeweka demarcation katika utendaji wa viongozi wake. Ni lazima kuwe na mipaka katika...
  10. R

    Lissu: Kwa hali jinsi ilivyo, Dar ndio itakayochelewesha ukombozi wa nchi hii

    Kilichokuwepo ni kuwa siasa za wanaharakati wa Dar zimefunika kazi za siasa za viongozi wa chadema.,wengi wanahisi kuwa kazi zao zinafanywa na wengine. Lakini kimsingi viongozi wa chadema hawajui majukumu yao halisi.,kwani chama cha siasa kina utaratibu wa kufanya kazi zake kisiasa. lakini...
  11. R

    Lissu: Kwa hali jinsi ilivyo, Dar ndio itakayochelewesha ukombozi wa nchi hii

    Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu lissu amewaponda viongozi wa CHADEMA Mkoani Dar es salaam kuwa wameshindwa kufanya kazi za siasa za kukijenga chama hiko. Aliyasema hayo jana alipokuwa akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika jimbo la Segerea, mkutano ambao ulihudhiriwa na...
  12. R

    Absalom Kibanda: Namuogopa Abdurahman Kinana

    Kuna mdau aliandika hii thread jana lakini haraka ikatolewa na kusababishwa watu wengi kuikosa.,inafanana na haya ambayo yameandikwa hapa;
  13. R

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Elimu ya Ujasiriamali imenikomboa.....!
  14. R

    Hii ndio (CV) Wasifu ya Nape Moses Nnauye

    Kuna hii habari ya tweet za akaunti ya CCM kwenye ukurasa wake wa twitter.,inaweza kuwa na mahusiano yeyote na CV hii..?
  15. R

    CCM yalaani vikali kuteswa kwa Kibanda

    Nilitegemea kuona kauli na matamko kama haya yakitolewa na vyama vingine kama chadema na vingine kama ilivyokuwa kwa mwangosi na wengineo. ila ukimya wao unatoa picha tofauti na tafsir zisizo na majibu ya moja kwa moja.
  16. R

    Kinachijiri Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM, Dodoma

    Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM kinachoendelea hivi leo katika ukumbi wa whitehouse kimechelewa kuanza mpaka sasa kutokana na majadiliano yaliyozuka baina ya Wenyeviti wa Vijana wa Mikoa pamoja na Wajumbe wa Baraza kuu wakiwakilisha mikoa. Majadiliano hayo yanakuja baada ya tukio la Mwenyekiti wa...
  17. R

    Mwanakijiji haujaeleweka! Umeona maazimio haya...?

    Jamaa hajielewi kabisa.,sijui alikuwa anamlenga Mwanakijiji ama anailenga CHADEMA haijulikan anataka kusema nini.
  18. R

    Mwanakijiji haujaeleweka! Umeona maazimio haya...?

    Hizi ni siasa za uchonganishi ambazo wamekuja nazo CCM na bila shaka haya ni maazimio ya mkutano mkuu wao.,iweje TO anataka kuaminisha watu kuwa Mheshimiwa Zitto ameacha kuhudhuria kwa makusudi...!
  19. R

    Waraka kwa Katibu Mkuu wa CHADEMA; fanyeni haya...!

    Tatizo la nnape=tandaleone ni kuwa anamtetea sana zito, jambo linaloongeza shaka kwetu ya kujiuliza kunani kati ya wawili hawa...?
Back
Top Bottom