Search results

  1. O

    Zitto awasilisha hoja binafsi juu ya walioficha fedha Uswiss

    Ndugu zangu watz,naomba tuelewe kitu kimoja,hakuna sheria nchini inayomzuia mtanzania kuwekeza pesa zake uswis au nje ya nchi.kwenda kuweka fedha nje ni suala la kawaida kabisa kwa wenzetu hata nchi zinazoendelea,nachelea kusema,hii wala sio swala la kutuumiza kichwa. Cha kwanza hizo pesa...
  2. O

    Mabadiliko ya upepo wa kisiasa nchini: Je, CHADEMA wanajua kuna mabadiliko? Wanajipangaje?

    Mmechambua vizuri na mimi naungana na nyie.Kwa maoni yangu CCM bado wana nafasi kubwa sana ya kuendelea kuliongoza taifa kwa miaka mingi ijayo, kinachotakiwa tu ni kukemea vitendo vichafu kama ufisadi,rushwa na matumizi mabaya ya madaraka. Nilifarijika sana kuona Mhando kasimamishwa kazi...
  3. O

    Mwanza: Mahakama yawatia ndani Diwani, Katibu wa CHADEMA

    Ni fundisho kwa cdm wengine wanaokaidi amri za serikali na mahakama
  4. O

    Undani wa John Mnyika na John Heche

    Ovyooo.hawa jamaa unaowasifia ni ovyo sana,kwanza sifa ya kiongozi mzuri anatakiwa awe intelligent,na msimamizi mzuri wa hoja. Heche ni mtupu kichwan kasoma SAUT kwa kuungunga sana mpaka kumaliza,kama ndo hazina za cdm basi cdm nayo ni hoi kwelikweli.
  5. O

    CV za CCM zinazowapa ushindi wa Kishindo!!!

    Mtoa mada wewe ndo hujasoma,i guess ni mjinga wa mwisho,mtu kusoma si lazima asome kipindi kile unakijua wewe,jamaa kasoma kajiendeleza na ana shahada ya mambo ya siasa na uongozi,kuna vyuo vingi kwa sasa kama open university.usikalili mkuu
  6. O

    CV za CCM zinazowapa ushindi wa Kishindo!!!

    CCM inazidi kuimarika,hii imedhihirishwa na chaguzi ndogo za madiwan zilizomalizika hivi juzi,pamoja na kelele nyingi bado wananchi wana iman kubwa na chama chao,mambo yaliyofanywa na ccm ni mengi na makubwa,na bado inasonga mbele,kikubwa zaidi ni utulivu wa nchi pamoja na watu wachache kutaka...
  7. O

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Hawa wabunge wa kuokoteleza ndo tatizo,poor IQ,hasomi vitu kazi kukurupuka.Unapokuwa mwakilishi wa wananchi unatakiwa kuwa current and whatever you speak,you have to be sure.Ona ashapotosha watu tayari.shame on you
  8. O

    Ubadhilifu mkubwa wa viwanja unaofanywa na Chadema Jiji la Mwanza

    Mdau Mkurugenzi wa jiji huwa hagawi ardhi,chombo kinachogawa ardhi ni Kamati ya mipango miji na mazingira ambayo mwenyekiti wake ni kutoka chadema,wakiwepo pia madiwan wanne na watendaji.
  9. O

    Nguvu umma yamtesa Pinda Mwanza, azomewa, awa mbogo!

    Naungana na watanzania wenzangu kulaan kitendo cha utovu wa nidhamu kilichoonyeshwa na Mh.Wenje kipindi cha ziara ya waziri Mkuu Mh.Pinda Mh.Wenje amekua si mngwana na ameonesha kutokomaa kisiasa,imetusikitisha sana wana Mwanza hasa sisi watu wa Nyamagana na tunajuta sana kumpeleka Bungeni...
  10. O

    Dr. Slaa adaiwa kumwandikia meseji ya vitisho IGP

    CDM maandamano walizuiwa sababu ya sensa,sensa kila mtu anajua umuhimu wake,shule zote zilifungwa,na shughuli zote zinazohusisha mkusanyiko zilizuiwa ili kufanikisha suala la sensa,inakuwaje cdm mnafanya mkutano,kwanza ni kukiuka amri ya serikali na indirect kupinga sensa,kwa hali hii...
  11. O

    Kamati Kuu CHADEMA yawavua Uanachama Madiwani 2 Jiji la Mwanza

    Hapana hawa jamaa, I can say wanakurupuka sana, kwa mza, mwanachama yeyote au kiongozi anapokuwa si upande wa wenje lazima apate matatizo, wenje anadictate what to be wakati kichwan ni mtupu. Kwa sasa mwelekeo wa CDM ni kifo. Wamekuwa wakurupukaji sana. Chama hakiko makini kabisa,kwa mwenendo...
  12. O

    Masha athibitisha Vijana wengi hawaipendi CCM

    Masha alikuwa mbuge makini sana,sisi wana nyamagana tunakuhitaji tena, kwa sasa tuna chizi hajui alifanyalo ***** sana,wenje hufai
  13. O

    Michuzi sio sawa: Uchakachuaji wa picha za ccm za Jangwani leo 9.6.12

    Nasikitika sanaa sana kwa uelewa ulivyo finyu wa watz wenzangu,hii kwa kweli ni tatizo sana nashindwa kujua serikali inanye nini ili kuweza kufanya IQ ya watz kukua,mtu anashindwa ktofautisha tu picha iliyochukuliwa karibu,iliyochukuliwa mbali na iliyochukuliwa kwenye direction tofauti. Hii kwa...
  14. O

    Matumaini mapya yameanza kuchomoza - Zitto Kabwe

    No issue kama hizi za maslah ya nchi huwa wanaenda kwanza wakubwa kuongea kikubwa na negotiation ya kupeleka wataalam ndo huwa inajadiliwa hapa.Hii ni kwa nchi zote sio Tz tu,seikali ipo sahihi kabsa
  15. O

    Ccm itatoka kweli 2015

    Jamaa utafiti wake sio,Iam sure tuna miongo zaidi ya 3 ya kuendelea kushika madaraka,Kwa mjini its ok kwamba chadema wanawatu kiasi japo hawajatufikia,jaman uchaguzi uliopita its 2years tu tuna wabunge karibu 75%, hii inaonnyesha ni jinsi gani wananchi bado wana iman na ccm,kwa utafiti wenu...
  16. O

    Huyu ndiye tatizo katika nchi ya Tanzania na sio Ngeleja, Mkulo wala Maige

    Naungana na wanajamii wengi kuwa,hata kama issue zako ulizopresent zina ukwel kidogo,i dont think JK is bogus as you think ana washauri hata mambo binafsi,he cannot be that full.Tuachen majungu.Hawa jamaa ni wezi tu wala msimpake matope JK hana sababu yoyote ya kumtumia waziri kuiba tena wizi...
  17. O

    Chadema msimwache kijana huyu

    sio wachache ni wengi sana majungu ndo kazi yao.hawana mda mrefu kwenye uliingo wa siasa,watapolomoka coz wanachukua kila mtu ili mradi ataje ki diploma au degree
  18. O

    Mkulo, Maige, Ngeleja kikaangoni TAKUKURU

    NOOOOO kama kweli majarada yapo kwa Hosea watafikishwa mahakaman,na pia inategemea na uzito na ushahidi wa tuhuma dhidi yao.PCCB is strong enough,subirin mtaona
  19. O

    Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

    Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu...
  20. O

    Maige afichua siri nzito maliasili

    Wanajamii mi sikubalian kabisaa na Maige,anachokifanya kwa sas ni kujikosha,if he knew kuwa mafisad ndan ya wizara wana nguvu alitakiwa kuwa smart zaidi na kutumia madaraka aliyopewa vzr,kwa kujua hayo yote why anachotaka kukisema sasa hv asingekisema au angetumia mbunge mwingine kukisema...
Back
Top Bottom