Search results

  1. N

    Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    Wanaume wako wengi Duniani, usijali, utampata anayekufaa.
  2. N

    Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    Na pia kuwa na mwanaume yule uliyemkubali moyoni mwako na mwenye tabia njema, usikubali kuolewa na mwanaume wa aina yeyote, hata kama atakuambia humtaki kwa sababu unaringa na kujiona muache aongee anavyotaka, mdomo mali yake!, we endelea kumtafuta yule utakaye kufanya uwe na furaha.
  3. N

    Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

    Hiyo ni kweli kabisa.
  4. N

    Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Ni tabia mbaya sana kumtukana mtu that much baada ya kuachana naye, ni upumbavu na utoto, muache mtu aishi happy kwenye maisha yake, kuachana kwenu kusiproduce chuki zisizoisha, samehe na uishi na ufurahie maisha yako na yeye pia umuache aishi na afurahie maisha yake, yaani unakubali kasoro zake...
  5. N

    Ilikuwa ni fedheha ambayo sitokuja kuisahau....

    Pole sana kaka, but waliojiaibisha zaidi ni wao na hapo pia umeweza kuwajua majirani zako wa kweli ambao hata wakikupa glasi ya maji, ukinywa, hutodhurika, hao majirani wanafiki kuwa nao makini.
  6. N

    " That’s me before the surgery".

    Transexual si mchezo ati!.
  7. N

    Jaman naumwa na mawazo,nateseka nfanyeje?

    Mwanaume anatakiwa awe anajua na anapenda kumbembeleza girl wake na kuwa na attention kwake, hili linaleta raha kwenye uhusiano, Mwanamke anakuwa anajisikia raha na kuappriciate kuwa anapendwa na kujaliwa, Mi kama mwanaume hafanyi haya kwenye uhusiano wetu, hata awe handsome na pedezyee wa aina...
  8. N

    Wanawake na Mabadiliko ya hali ya hewa wao wameendelea kuliko wanaume!

    Mbona miaka hii kuna wanawake wameshaanza kuvaa suruali za jeans za kubana bila hata kufuli ndani, wapo kabisa, Mi kuna mmoja namjua alikuwa ana tabia hiyo, but sio mara nyingi alikuwa anafanya hivyo, sijui ni huyo jibaba lake la kizungu lilimfundisha au aliamua mwenyewe tu kujiachia hivyo...
  9. N

    Wa dada na dawa ya kurudisha heshima

    Eeh, wapi huko!, si ujuzi mwenyewe amfundishe mkewe.
  10. N

    Girls bwana......

    Yaani ki ukweli, mtu anayekupenda kwasababu ya mali nyingi kuwa naye makini, usicheke naye kabisa, khaaa!.
  11. N

    Never Trust Women!

    Inaonekana jamaa anacheat sana, na akishtukiwa amezoea kumpoza mkewe kwa vijizawadi, sasa mkewe keshamchoka na leo atamtambua, lazima amuweke jeraha akawaonyeshe vimada wake, aache hiyo tabia, maana siku nyingine atajeruhiwa kwenye mashine yake kabisa, akose hamu hata na huyo kimada, aache...
  12. N

    Nipeni pole,wakaka/wababa nisaidien kujua 7bu ya baadhi yenu kufikia kufanya upuuzi

    Pole sana my Dear, yaani gari likishajaa kupita kiasi, kuna matukio mengi maovu yanaendelea, Mi nilishawahi kukumbwa na vioja vya hawa watu kwenye daladala but yeye hakuwa amefungua zipu, kipindi hicho nilikuwa mdogo, nilikuwa ndio niko sekondari, yaani huyo kaka alikuwa bomba lakini kumbe ni...
  13. N

    Wabunge wa Uganda wafanya kilichowashinda Wabunge wa Tanzania - Wasitisha Mikataba ya Kifisadi

    Uganda, Kenya si kama Tanzania, lazima pawake moto wa ukweli, wale watu hawaogopi mtu, maana hiyo serikali yao itakuwa na kazi kubwa kweli katika kuuficha ukweli, la sivyo patakucha.
  14. N

    Girls bwana......

    Kudadadeki!, fedhuli yeyote anayekupenda ukiwa na kitu, mtimue kama mbwa, atakufilisi, anapenda vya kunyonga, vya kuchinja haviwezi, watu wasipende kuwanyonya wenzao kwa kudepend kwao kupita kiasi, saidianeni kwenye kupiga hatua za kimaendeleo katika maisha, sio kuchunana kipuuzipuuzi, demu kama...
  15. N

    Ujauzito umenivunja nguvu na je pilipili ni salama kwa mwanamke mjamzito?

    Mi nilisikia, mama mjamzito akila pilipili sana, mtoto anakuwa na macho yaliyovimba.
  16. N

    Kulipa fadhila kunamkondesha

    Ukimthamini anayekujali, utapata baraka.
  17. N

    Kulipa fadhila kunamkondesha

    Kila jinsia ina matatizo, awe mwanamke au mwanaume, ukiwa na uwezo wa kumsaidia mtu au mpenzi wako msaidie, mtu aliyestaarabika na mwenye ubinaadamu hatokugeuka, na pia kama mtu anakusaidia, usimzuie kuwasaidia ndugu zake pia, ndugu zake wamempa support mpaka akafanikiwa kuwa na uwezo wa...
  18. N

    ^00^

    Eeh, we ni noma
  19. N

    Kulipa fadhila kunamkondesha

    Eeh, siku zote hizo alikuwa anamuona wa maana, leo ndio anaona hamfai, amuambie ukweli, lakini alichokifanya si kizuri, huwezi jua yanaweza yakawa majaribu tu, Mungu anamjaribu aone msimamo wake, akumbuke akufaaye kwa dhiki ndiye rafiki wa kweli, lakini kama alikuwa hana feelings naye toka...
  20. N

    Mumewe hapendi..mie naanzaje?

    Huyo mwanamke asikusumbue bure, mbona mpuuzi hivyo, anataka akutangazie mtaani kwamba wewe ni shabiki sana wa porn, kutazama porn na mkeo si vibaya, kila mtu na life yake, huyo bibie akanunue hizo cd na pesa yake akamwonyeshe mumewe watoto wakishalala, halafu watajuana wenyewe kama waendelee...
Back
Top Bottom