Search results

  1. A

    Barua ya Wazi kwa Serikali: Suala hili ni zito Kura ya Maoni ndio ufumbuzi

    Waislamu wanatumia MoU baina ya serikali na makanisa kama kigezo cha kuhalalisha madai yao. Wanasema kwanini serikali isiunde utaratibu maalum wa kuhudumia mahakama ya kadhi, kama walivyounda utaratibu maalum kuhudumia taasisi za kikristo (MoU)? Kimantiki, hii hoja haina mashiko sana, kwani...
  2. A

    Barua ya Wazi kwa Serikali: Suala hili ni zito Kura ya Maoni ndio ufumbuzi

    Ili kuondoa manung'uniko ya kila mara, serikali ingekaa mbali kabisa na mahusiano tata na mashirika ya dini. Serikali ijenge hospitali zake na kuzisimamia. Kama dhamira ipo, serikali haiwezi kushindwa. MoU ni utata mtupu.
  3. A

    miradi, fedha, na mahusiano miongoni mwa wanandoa

    Heshima mbele. Nina rafiki ambaye ameoa na wanaishi vizuri tu na mke wake. Jamaa ni mfanyabiashara na Mungu amemjalia kipato kizuri. Kwa kuwa anasafiri sana, huwa anamuachia mke wake miradi ya familia ili asimamie. Shida ni kwamba huyo mke hataki kuwa muwazi katika mahesabu, na bila kusukumwa...
  4. A

    Kwanini Watanzania na Tanzania ni masikini pamoja na rasilimali (resources) tulizonazo?

    Hoja nzuri Mkandala, Sidhani kama watz ni wavivu wa kazi. Ujanja na ubabaishaji ndivyo vinakatisha watu tamaa. Kuna watu wako tayari kwenda hata vijijini wakalime. Lakini hakuna msaada wa serikali. Kuna kundi la marasta waliwahi kutoka Dar wakahamia maeneo ya Kilosa ili wakalime. Sijui wale...
  5. A

    Watanzania wengi wadaiwa sugu wa Bodi ya Mikopo... Mwongozo tafadhali...?

    Tuna tatizo kubwa la utunzaji wa kumbukumbu Tz. Nimeshangaa na mimi eti "sijaanza kulipa" wakati sisi ndio tulianza kukatwa awamu ya kwanza kabisa na kila mwezi wanakata mshahara wangu kulipia hilo deni. Huku si kudhalilishana? Fedha zangu wanakata, na bado wananipachika bango la "wadaiwa sugu"...
  6. A

    Download and read, very touching speech

    Yes. This is a masterpiece. Huyu jamaa ni kichwa. Nimefurahia zaidi alivyochambua aina ya matatizo yanayotukabili kama taifa. Kutumia STI ni sawa, ila ni hicho ni kipengele kimojawapo tu. Najua asingeenda nje ya hapo kwa sababu ndiyo mada aliyoandaa, lakini tunachohitaji cha kwanza kabisa, hata...
  7. A

    Tatizo si CCM, Tatizo ni unafiki, ujinga, uoga na kukata tamaa

    Nakuunga mkono asilimia zote kabisa. Kwa kweli huwa najiuliza sana kwamba sisi Watz tukoje? Watu wanadanganywa na wanaridhika na majibu mepesi bila shida yoyote. Nchi inakwenda kombo watu wapo tu wanaangalia. Maisha yamepanda, watu wanakufa njaa, nchi inaporwa na maharamia wa kisiasa, lakini...
  8. A

    CCM: Tujisahihishe au Tugawane Chama

    Mchambuzi, umetoa mawazo mazuri sana. Nataka tu nichangie kipengele cha World Bank na IMF. Ni ukweli ulio wazi kwamba taasisi hizi zinatunyonya sana kupitia mikopo na masharti magumu. Hata hivyo, kuna mambo mawili muhimu katika hili. Kwanza, ni vema tukubali kwamba vyombo hivyo ni vya...
  9. A

    Pinda aendelea kulalamika!

    Kinachoendelea Tz kiutawala ni jambo la kumsikitisha kila mtu makini. Ni kama mfumo wa dola umekufa. Kila mtu anatoa tamko, na kinachoshangaza zaidi ni kwamba hata wale ambao tunadhani wana mamalaka, nao wanaonekana hawana nguvu na wanalalamika kama raia wa kawaida. Ukweli ni kwamba, kwa mfumo...
  10. A

    Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

    Kitu kinachonishangaza ni haraka kubwa iliyopo katika kuanzisha hili shirikisho. Sasa hivi kuna vitu kibao vinajadiliwa: common currency, common tariff structure, political federation, n.k. Sijui hii haraka inatokana na nini. Halafu, sijafuatilia kwa karibu kujua nafasi ya Zbar katika mjadaala...
  11. A

    Tanzania refuses to sign -then signs-proposal for EAC political federation

    Mhe, Hili suala lina ukweli kiasi fulani. Mwaka jana nilikutana na Mkenya mmoja Marekani na alikuwa na mawazo yanayofanana na hayo. Yeye hakusema wanataka kutawala EAC federation kisiasa, bali alisema kuna mkakati maalum wa Wakenya kukamata biashara na uchumi wa jumuiya hiyo. Ingawa hatuwezi...
  12. A

    Ufukarishaji

    Ni kweli. Mimi ni mkereketwa sana wa maendeleo ya watu wa kawaida. Nasikitika sana kwamba tunaadhimisha miaka 50 ya uhuru huku hatuna hata uwezo wa kujilisha wenyewe, kusimamia elimu, wala matibabu. Nilipokuwa shuleni, nililishwa hii nadharia ya ubepari na nikaipokea kweli kweli. Kwa kweli enzi...
  13. A

    Ufukarishaji

    Ni kweli kwamba ubepari unatuongezea umaskini. Lakini nina maoni tofauti kidogo juu ya deni la taifa. Kwa kweli limekuwa kubwa, na linazidi kukua. Kimsingi, taifa kukopa si tatizo, kwani hata mataifa makubwa kama Marekani nayo yanakopa. Tatizo ninaloliona kwa Tz ni kwamba tunakopa bila malengo...
  14. A

    Historia ya Uhuru isimuliwavyo na Mohammed Said yakosolewa

    Nakubaliana na Bwana Said na wachangiaji wengine kwamba kuna namna mbalimbali za uandishi wa historia. Hata hivyo, historia yoyote lazima ilenge kuunganisha jamii, na siyo kuisambaratisha. Hapo ndipo ninapotofautiana na Said. Nina hakika kwamba hata hicho anachotaka kutuaminisha kwamba ni...
  15. A

    Hivi Watanzania tunajua tunachokitaka?

    Umeongea vema. Suala la Mhe. Sitta kubadili kauli nyakati fulani mimi huwa nalichukulia kama mbinu yake kisiasa. Pamoja na kwamba yeye ni mpiganaji, lakini tusisahau kwamba bado yuko ndnai ya chama, kwa hiyo kuna nyakati anaweza kulegeza kidogo msimamo ili kujitafutia uhalali ndani ya chama...
  16. A

    Nini mustakabali wa siasa za Tanzania na vikundi vya "Wanamgambo" wa Vyama?

    Hivi vikundi si muafaka kwa mustakabali wa siasa za Tanzania. Vipo vyombo vinavyotambulika kikatiba na kisheria kufanya kazi ya ulinzi (polisi, usalama wa taifa, mgambo, n.k.). Mimi naviona kama ishara ya militant politics ambazo mwisho wake ni hatari kwa Tz. Mfano, chama kimoja kikishindwa...
Back
Top Bottom