Search results

  1. Asha Ngedere 2

    Bilicanas imarisheni ulinzi

    Babu wee maisha yenyewe haya magumu, umejinywea mibia yako kichoyo alafu umesasambua kila kitu...kwanini wenye njaa tusichukue chetu mapema?? au ulitaka tukuamshe alafu tukukumbushe kuchunga mali zako? tena ushukuru ulijikuta hapo hapo club hujafanyiwa madhara dhidi ya ubinadam ungejikuta gesti...
  2. Asha Ngedere 2

    Asha ngedere 2 ndani ya nyumba

    hapa nimeomba ukaribisho...habari tena za pacha zinaibukia wapi mtanzania?
  3. Asha Ngedere 2

    Asha ngedere 2 ndani ya nyumba

    Kama huiwezi mieleka uondoke wewe, hapa jamvini kila mtu anakaa anaemshindwa mwenzake ndie huondoka..... umeisoma eeeh
  4. Asha Ngedere 2

    Asha ngedere 2 ndani ya nyumba

    Ww kaka, kila mtu anasaka kivyake, sie tunaishi kimjini mjini...habari zake wala sizijui mie
  5. Asha Ngedere 2

    Asha ngedere 2 ndani ya nyumba

    habarini humu ndani, Mie Asha ngedere naombeni mnipokee. Sitaendeleza tabia za ugomvi humu ndani.
Back
Top Bottom