naomaba serikali itambue tupo vijana waaminifu ambao atuna kazi na vigezo vyote tunavyo yanini kuwag'ang'ania wezi wa fedha za umma tupeni kazi tuwaonyeshe uwezo tutarudisha imani ya wananchi kwa serikali yao kama watuwa tamisemi wamo humu wajue wapo vijana waadilifu
Siyo kwamba wamefungwa mdomo kusema watachukua hatua kama chadema wasubiri matokeo waone kama yanakidhi viwango au laa si kujibujibu tu tumia akili bro
Miaka 50 sera ni zilezile watu wamechoka wanahitaji fikra mpya kwa sasa amani amani amani kwani ndo wenye amani mkasirishen mungu muone asipoiondoa hakuna wakujisifu kwa hili la amani mungu peke yake asifiwe asante mungu kwa hii amani yetu tanzania glory to...
Mara nyingi sisi wana wa nchi hii atupendi kufikiri positive mtu akilalamika sana ndo anaonekana anawajibika cha msingi tukubali mabadiliko tuone mbona kenya waliweza zambia na wengine why us?
Acheni kuona chadema ili waonekane wanafanya kazi mpaka waandamane wamefanya jambo la msingi yasipofanyiwa kazi ndo tunaweza amuua vinginevyo ushabiki wa kijinga kamwe aukubaliki big up chadema mmeanza vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.