Haya ndio matokeo ya serikali dhaifu!kutoa pole na rambirambi wakati watanzania wenzetu wamepoteza maisha kizembe ni aibu kwa taifa hiyo inasababishwa na mikataba feki wakandarasi feki ndio matokeo yake
Hizo kelele za chuia taja majina ya wabunge waliolalamika wewe tatizo lako ni kumtaja dr slaa na josephin umeridhika?nyie msitatue matatizo ya watanzania na kulinda mipaka ya nchi malawi kiboko amemkomesha rais wenu anamkimbiza mchakamchaka
wewe mi kwenye mkutano wa arusha nilikuwepo na nasari hakumaanisha unavyofikiri wewe kama ujui uliza tutakuelewesha pili cdm hatujachukizwa na shibuda kugombea urais tatizo lake kwani akatangaze kwenye nec ya ccm na pili kwani aseme meneja kampeni wake atakuwa kikwete?
haya ccm wakatae tena kuwa hawausiki na mauji ya msafiri jamani kweli ccm nimeamini kuwa ni wakatili na wauwaji ila Mungu yupo aliyeumba tanzania hatakubali umwagaji damu tena!
sikieni lema ni kweli kapigwa chini ila chadema tutawagaragaza ccm kuliko wanavyofikiri watapata aibu kubwa kuliko waliyopata arumeru mashariki wasubiri uchaguzi utangazwe lema achukue fomu chadema tuwagaragaze
Sasa ccm wanapita wakijitanza chama cha amani wakati wao ndo wanaanzisha vurugu jamani hawa ccm wangekuwa wamewatimizia wananhi wao mambo waliyowahahidi leo wasinge kuwa na wakati mgumu wa kufanya kampeni mbaya zaidi wananchi wa Arumeru mashariki wana shida ya maji mfano maeneo ya maroroni...
nawashangaa sana leo kuweka polisi kila kata wakati meru imeoza vijana wana kunywa pombe haramu na polisi hao hao ndio wanapokea rushwa na juzi kati kauwawa polisi mwenzao meru
Huku Nyeri na Kisumu kuna vibuyu na mirija na hii ni kali kuliko kiroba, huyo jamaa angalia kwenye vitambulisho vyake atakuwa ametorokea tz maana huku wamama hawana mchezo amekimbia mapanga na maji ya moto
Joshua nassari anaweza kwanza walichachukua kura zake siungi mkono hoja ya silaa kugombea jimbo la meru labda amsaidie kampeni tu Nassari anaweza hana tofauti na mnyika huyu ni kamanda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.