Watanzania asilimia kubwa tunaishi kwa unafiki. Kama wewe ni mshaur mzur unapaswa kuongea kwa uwazi. Sio unapindisha pindisha. Sijaona mapendekezo yako juu jinsi ya kufikia nchi ya viwanda...
Swali kubwa hapa ni kuwa, kwa nn iingizwe ndan ya katiba? On long run kuna nn? Changa la macho hapa... Kila dini itambue mahakama na utaratibu wake..."SERIKALI YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA HAITAMBUI DINI, sasa hk wanachokifanya n nn?" N kinyume na katiba ya tz iliyopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.