Kiukweli kwa kipindi kifupi huyu Mchengerwa ameonesha uwezo mkubwa sana wa kuimudu hii wizara sijajua kwa nini Mama amemtoa ! Kama anasoma humu afanye kumrudisha bila maswali
Kweli ngoma inogile huyo kaenda ikulu mwenzake naibu waziri Bi Lucy ye mpaka mida ya jioni alikuwa anazuru muhimbili yote mpaka moi, wanazunguka mbuyu tu waache wataicheza ngoma.
msadie kuelewa huyo ps wa Bl. Nyoni mwambie wafanyakazi wa afya hawajui dili ndiyo mana walichagua hiyo fani , ila huyo muhasibu ninmajuzi tu kawashonea sare wafanyakazi wa MNH kila mmoja pea tatu na kila pea ina gharama ya Tsh. 200,000 na kwa kawaida unform allowance ya serikali iliyopitishwa...
Ndugu inaelekea huna historia kamili kuhusu migomo,mwaka 1995 madaktari na wauguzi wote nchini waligoma kwa siku tatu na aliyekuwa waziri wa afya wakati huo Bi Zakia Meghji aliachia ngazi na ilibidi mh. Rais Mwinyi wakati huo awafuate kwenda kuwasihi warudi kazini na mara moja maslahi yao...
Huyo mama (Blandina aliwahi kwenda pale MUHIMBILI na kukuta wagonjwa wamejaa na wengine wamelala chini, alichosema ni " Sitaki kuona wd zikiwa chafu namna hii wawekeni hao wagonjwa chini ya uvungu wa vitanda corridor zote ziwe safi". Sasa kwa akili ya kawaida tu hata angesoma hiyo medicine...
Kwa hili la kuwahusisha watoto kwenye biashara ya ngono, nadhani tunakoelekea kama taifa si pazuri kabisa, kuna mambo mengi ya kufanya na ama kurekekebisha hii ni pamoja na sera zinazohusu masuala ya kijamii kwa ujumla. Tukichukulia mfano sera zinazosimamia maslahi ya watoto hasa wale wanaoishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.