Search results

  1. Ndebile

    Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

    Msoga wanamlia "timing" so inabidi achukue tahadhari kwa Kila hatua! Rest in Peace Balozi wa Tanzania nchini Austria!
  2. Ndebile

    Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    TISS ya mejaa humo hasa CWT kwa maslahi ya CCM!
  3. Ndebile

    Deni la Taifa lafika TZS trilioni 91.03

    "Hadi nchi iuzwe" by Job Ndugai
  4. Ndebile

    Mbowe: Ni nani katika hii Dunia apewe msamaha na Rais halafu aukatae?

    Kumbe ile kesi haikuwa ya mchongo! Mabweni ya shule za kiislam siku hizi hakuna shot za umeme! Nawaza tu!
  5. Ndebile

    Kitanzi kimepitwa na wakati kwanini tusitumie technology hii

    Jina lako EvilSpirit na mada zako vinaendana kama Yusuph Makamba na Chama chake CCM!
  6. Ndebile

    Dkt. Kigwangalla: Neno likishatoka mdomoni halirudi, najutia kuwadhalilisha askari Wanyamapori walioleta mzaha kwenye Gwaride. Sitagombea Urais

    Hivi tunazunguka mbaliiii huko ili iweje? Hitisheni maandamano ya kulaani matamshi ya mbakaji mkongwe Yusuph Makamba!
  7. Ndebile

    Masikhara ya JK nyuma ya uwepo wa Makamba nionyeshe rafiki nikwambia wewe mtu wa aina gani

    Mkuu umejitahidi sana! Najiuliza aliyebuni kipimo cha akili cha IQ wewe ungeangukia scale ipi?
  8. Ndebile

    Baraza la Mawaziri kuvunjwa?

    Watendaji anaowaona wabovu hana uwezo wa kuwatumbua maana wanaripoti kwa aliyewatuma kwake wateuliwe! We can easily forgive a child who is afraid of the dark; the real tragedy of life is when a men are afraid of the light." -Plato.
  9. Ndebile

    Sofiane Boufal: Ushindi wa Morocco ni kwa ajili ya wananchi wa Morocco, Waarabu na Waislamu

    Bora iwe hivyo maana kuwaweka kapu moja Morocco na Yusuph Makamba ni KUWANAJISI! Yes, I mean it!
  10. Ndebile

    Tetesi: Bei ya kununua umeme kupanda kuanzia January unit kuuzwa 511

    Haka ka picha nimekapenda ila najiuliza pa kukatunza!
  11. Ndebile

    Mzee Makamba ahamaki alipoulizwa kuhusu mgao wa umeme nusu amlambe vibao mwandishi wa habari

    Makamba: "....hicho chuo ulichisoma kakijenga baba yako?...." Mwandishi: ".....ndiyo, ni Kodi aliyokuwa analipa baba yangu ndiyo ilijenga hicho chuo.."
  12. Ndebile

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Ukimwi wa migodini usikie hivi hivi...yaani virus wameishaonja Kila aina ya dawa na kuwa sugu! Mwamba kaukwaa kiraisi sana!
  13. Ndebile

    Rais Samia: Milioni 960 za sherehe ya Uhuru zikajenge mabweni shule nane za wanafunzi wenye mahitaji maalum

    Mheshimiwa Rais Dr. Samia S.Hassan zile milioni 500 ulizotoa kwa ajili ya ujenzi wa jengo la wagonjwa wa Nje (OPD) Hospitali ya wilaya ya Nyamagana zimepigwa zote, jengo halijaisha watumishi wapo wanarushiana mpira! Mh. Rais pengine una nia nzuri ila tunajua huku chini wanasubiria huo mgao wa...
  14. Ndebile

    Simulizi Ya Kweli: Mauaji ya Wachawi Dodoma na kisa cha 'Kanyaga Twende'

    Usushangae kuambiwa Kanyaga twende ni waumini wazuri sana wa madhehebu yao ya DINI2
  15. Ndebile

    Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

    Maja Mnyama hata jiwe mwenyewe alikuwa anamuogopa Kizingiti kikubwa ni hiyo familia ya kuchekacheka!
  16. Ndebile

    Mama hajapata usingizi toka tarehe 28 Novemba

    Maja Mnyama hata jiwe mwenyewe alikuwa anamuogopa!
  17. Ndebile

    Lugha chafu, dharau na rushwa kwenye huduma za kijamii, hospitali, idara ya maji, TANESCO na ofisi nyingine za Serikali hata hili serikali mshindwa?

    Mama alisema hivi na hapa namnukuu: .."nidhamu kwa watumishi iliyokuwepo awamu ya Tano ilikuwa nidhamu ya woga, Mimi nataka watumishi wawe na nidhamu yao ya asili bila kuogopa Simba wa Yuda..." Kwahiyo mkuu mleta mada huko alipo mama anafurahi sana kuona watumishi wakiwa katika nidhamu gao "...
  18. Ndebile

    Matokeo ya Darasa la Saba 2022 yametoka rasmi

    Naona walimu wameamua kupiga mishe zao za bodaboda (urefu wa kamba zao) hali sio nzuri hata kidogo kwenye hizi shule zetu za kubeba mfagio na kidumu cha maji!
  19. Ndebile

    Tuache siasa, bandari yetu ya Dar es Salaam ni dhahabu

    Najua ni wazuri ila wakidhaanza kupewa vimemo na fisi wa CCM basi ndio tena wanakuwa kama waliowatangulia!
  20. Ndebile

    Tuache siasa, bandari yetu ya Dar es Salaam ni dhahabu

    DPworld ndiyo ya mNEC gani mkuu?
Back
Top Bottom