Msibishe NI kweli masia bus ilikuwa kawaida kufika saa saba na nusu mm nishawahi panda bus moja linaitwa tabibu terias tulifika saa nane na nusu miaka ya hii ya karibu Tu hapa 2010 hta bus ya skanlinc ilikuwa inatoboa uliza wafanyabiashara wanazijua hzo gari sio uongo Kaka😀😀😀
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.