Search results

  1. M

    Nilizaa na Housegal

    Kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa ndio kosa...sasa naona wewe unataka kulirudia...please muoe huyo dada ili mtunze huyo mtoto. Usiwe selfish kaka mfikirie na yeye...umemuharibia future yake...angefanya mangapi ya maendeleo hadi sasa bila ule ujauzito na mtoto aliyezaa...dhihiriisha uungwana...
  2. M

    Uwekaji wa password kwenye simu kwa wapenzi/kwenye ndoa

    Si mwaminifu...anaogopa usije shtukia issue zake...
  3. M

    Mama mwenye nyumba

    Mbona iko wazi hiyo...anakutega ili unasike......
  4. M

    Nimemwaga mboga...lakini nafsi inanisuta.

    Kiukweli ulifanya mistake kubwa nahisi kuliko zote ambazo uliwahi kuzifanya... kumbuka kuwa ukweli humuweka mtu huru...tazama sasa umejenga uadui kati yako na girlfriend wako, mumewe na ht kwa rafiki zake... wema wote aliokutendea your ex hakutakiwa kulipwa kwa stahili hiyo... umemdhalilisha...
Back
Top Bottom