Search results

  1. nimie

    Vifaranga vya kuku 6,400 vyateketezwa kwa moto baada ya kukamatwa vikiingizwa nchini kinyume na sheria kutoka Kenya

    Kuwachoma moto tena! Akili zingine bana, kwani vilikuwa na ukimwi? "Atakayeua kwa upanga,..."
  2. nimie

    Simba yaitega Yanga

    Cross over players: Simba wanaye Niyonzima tu na Yanga wana Yondani, Tambwe, Ajibu, Kessy na yule wa almanusura Buswita. Sijui kama inamaana kwa game hii.
  3. nimie

    Wimbo wa Taifa urekebishwe!!!

    Mkuu, hao kwenye nyekundu sijui, ila hao wengine wanawekwa na rais tuliyemuweka!
  4. nimie

    Wimbo wa Taifa urekebishwe!!!

    Tatizo ni la watanzania wenyewe, viongozi wake wote wanatakiwa kubarikiwa. Ila sisi tunawaweka viongozi wabovu! Fikiria kama tungeweka viongozi wazuri, hii nyuzi isingekuwa na mashiko. Tatizo sio wimbo, kwanza si 'wabariki viongozi wote' bali ni 'wabariki viongozi wake'.
  5. nimie

    Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    Kwa tabia aloonyesha huyu Malinzi, nachelea asije akatuingiza kwenye mambo ya Kenya!
  6. nimie

    Ukabila TFF: Jamal Malinzi jibu/fafanua hili kabla sumu haijaenea

    Kumbe kule kuanza kwa "kishindo" ilikuwa ni "diffensive mechanism". Malinzi tahadhari usiwe huu ni 'mwanzo wa mwisho wako'
  7. nimie

    Unampa maksi ngapi huyu dogo?

    Angalia alivyoshika hiyo chaki ndo utajua maksi zangu.
  8. nimie

    utani umenicost najuuta!!!

    Hana lolote anatikisa kiberiti, usimpigie, we subiri kameseji kake kama kale la mwanzo!
  9. nimie

    Wanaume badilikeni!

    Hili wazo liambatane na maandalizi ya wanasheria na TAMWA kuwatetea watakaopigwa na kufukuzwa, na pia vituo vya kuwahifadhi hao wahanga wa 'mgomo'.
  10. nimie

    utani umenicost najuuta!!!

    Ha ha ha kakugundua ulimtania, na yeye anakutania tu, ila wewe ndo uko serious!
  11. nimie

    Alichofanyiwa Zitto ndani ya CHADEMA: Akili ndogo inatawala akili kubwa

    Mwigulu kwa maneno yako hayo nahisi kama 'mkorogo umedunda'!
  12. nimie

    Mwalimu Nyrere honoured at the United Nations

    Wengi wanaompinga Nyerere, ukiwaweka kwenye mizani wanainuka!
  13. nimie

    Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    Huyu dogo tulianza KUMUAMINI, amegundua amepoteza kibali sasa anatushawishi kuwa hakuna wa kuaminiwa!
  14. nimie

    Mmiliki wa jengo lililoleta maafa Dar apewa siku 30 kubomoa jengo lake lingine la ghorofa 16

    Huyo mama naye mnafiki tu, siku zote walikuwa wapi? wanasubiri hadi madhara yatokee ndio waanze kung'aka! Hili ni jengo la ngapi linaanguka, kwa nini wasichukue tahadhari mapema? kibongo bongo bwana, kila mtu msanii tu.
  15. nimie

    Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

    shimba poleni, duh 4?
  16. nimie

    Dr Lwaitama: CCM wakimsimamisha Dr. Salim A. Salim watashinda Urais

    Tatizo la bongo bado watu wachache ndo wanatuchagulia rais halafu wananchi wanafanywa rubber stamp. Nafasi halisi ya wananchi kuchagua bado naiona ni ndogo. Na hawa walioko madarakani ni kama wana laana!
  17. nimie

    Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond

    Siku hazifanani na huenda promo haikuwa kubwa ili kuepuka ukumbi usijejaa pomoni. All in all dogo anapiga pesa ndefu mno, kama ana akili nzuri ndo keshatoka. Au naye anatumia yale majani?
  18. nimie

    Jumuiya ya Afrika Mashariki kuvunjika, uroho wa madaraka wa Museveni na Kagame vyaiponza

    Huu muungano wa EAC nadhani wenzetu ndo wako strategically zaidi tena kwa faida. Sisi Tz tunataka kutimiza matakwa ya kisiasa hata kama kwa gharama ya hasara ya nchi na wananchi wake. Shame on you our politicians!
  19. nimie

    Wanaume, tupeni majibu hapa...

    Ni huyo huyo wa kwako, kama kakutenda ndo utafute majibu huku? ulimkubali mwenyewe, dada endelea kulinywa!
  20. nimie

    Barack Obama defeats Mitt Romney and wins a second term as President of the United States

    Barack obama hongera hureeeeeeeee, and mishelle obama is a really first lady!
Back
Top Bottom